Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
πI agree with you, everything is imported mpaka bahasha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ni aibuView attachment 2420328
Illiteracy ya mtaani ,hapo utakuta wanaamini wamerogwa ,nao wanaenda kwa Kalimanzila kubeba matunguli hukoKweli mzunguko hamna, watu na vibiashara vyao huku mtaani utawaonea huruma, kila siku wanafungua na zinakufa ndan ya muda mfupi.
Juzi nikawasikia et mtaa huu una laana [emoji3][emoji3]
Hata mifumo ya kiserikali au hata ya kifedha na mabenki yamekaa kimfumo wa kulazimisha watu kuwa waagizaji na umachinga kuliko kuzalisha bidhaa na huduma.Trade imbalance ni tatizo kubwa sana , huwezi kuwa na taifa la wachuuzi na machinga na madalali bila kuwa na real productivity ya bidhaa kuuza nje ya nchi na kusatisfy soko la ndani ukadhani unajenga uchumi hata siku moja , miaka bilioni Tz itabaki hii huu ,hakuna kutoboa kwa mwendo huu
Na ndio kazi ipo hapo ,sasa .Akili inabidi itumike kufanya transformation hapo .Hata mifumo ya kiserikali au hata ya kifedha na mabenki yamekaa kimfumo wa kulazimisha watu kuwa waagizaji na umachinga kuliko kuzalisha bidhaa na huduma.
Watu wako bize na kulamba asali na v8.ππNa ndio kazi ipo hapo ,sasa .Akili inabidi itumike kufanya transformation hapo .
Ni nashangaa sana miaka 60 hii yote tunarudi nyuma badala ya kwenda mbele
Si ndio hapo , yaani resources ya ardhi ,maji iliyopo nchi hii ilitakiwa iwe ni fursa tosha ya kuondoa tatizo za ukosefu wa ajira na hiyo trade imbalance lakini zimebaki siasa tu ,miaka na miaka ,no real action .Hata mifumo ya kiserikali au hata ya kifedha na mabenki yamekaa kimfumo wa kulazimisha watu kuwa waagizaji na umachinga kuliko kuzalisha bidhaa na huduma.
fact[emoji23][emoji23]
Ngoja nikwambie ukweli. Tanzania tuna mzunguko mdogo sana wa hela. Halafu kila kitu tunaagiza. Kwa hiyo biashara tunazofanya zinafanana na zinakuwa nyingi kuliko wateja. Na purchasing power ipo chini. Kwa hiyo raia wataishia kununua daily consumables (bidhaa ambazo kila siku lazima utumie/ulipie)
Ndio maana matajiri wengi wa Bongo wanawekeza kwenye biashara ambazo kila siku mtu lazima utumie
1. Mafuta ya magari(diesel/petrol)
2. Sukari
3. Chumvi
4. Kiberiti
5. Ngano
6. Mafuta ya kula
7. Sabuni za kipande
8. Sabuni za unga
9. Usafiri na usafirishaji
10. Pedi na pampers
11. Juisi, beverages na maji
12. Pombe
13. Mitandao ya simu/bando
Nadhani umenipata. Chanzo ni mzunguko mdogo sana wa hela hivyo hela kuwa ngumu na watu kutumia hela kwa ajili ya vitu vinavyo hitajika kila siku. Unadhani kwanini bakhresa kawekeza kwenye ngano, azamtv bagamoyo sugar? Au kwa nini mo yupo bize na mafuta ya kula, sabuni za unga? Unadhani kwanini azania wamehamia kwenye sabuni ya kipande na unga? Maana yake huko kwenye sabuni za kipande na sabuni za unga ndio kuna hela [emoji23]
Ila anaweza kuwa na stress kuliko wewe unafikri biashara ikiwa affected matajiri wanalipa vipi mikopoBakhera hata aathirike vp kamwe hawezi kuwa mlalahoi kama mimi
Yaani hizo pesa wanazotumia kununua hayo magari na kufanya upumbavu wote ambao ni unnecessary huko serikalini ingekuwa ni mtaji wa kununua mitambo na kujenga miundo mbinu ya mamia ya viwanda na hata kuanzisha viwanda vya kuzalisha mitambo na vipuriWatu wako bize na kulamba asali na v8.[emoji23][emoji23]
We acha tu nahivi maji hamna inazidi kuwa ngumu zaidi yaani sio poa.Kwa mara ya kwanza tangu 2017 inflation rate imefikia 4.8% and expected to reach 4.9% at the end of this year. Hii ina maana gani
1. Nguvu ya manunuzi imepungua sana kwahiyo hakuna mzunguko mkubwa wa pesa
2. Tsh itaendelea ku-depreciate against other currencies
3. Nguvu za kiume itakuwa ni changamoto sababu ya ugumu wa maisha kwa vijana[emoji3]
4. Magonjwa ya akili yataongezeka sababu ya challenge za mfuko na lindi la majukumu
5. Unemployment rate itaendelea kuwa kubwa
6. Bidhaa za vyakula, usafiri na vinywaji hazitakamatika
Mungu tuvushe salama
Picha ya kwanza ni dollar against Tsh since year 2000
Picha ya pili ni inflation rate this yearView attachment 2420326View attachment 2420327
kuna ukweli hapaSystematic poverty hii daah
alie kwenye mtumo kama kifaa lazima akione, wanaoendesha mfumo vipofu na Wana injoi.
Umaskini ni ukosefu wa mtu kuwa mzalishaji yaani ubunifu zero na sio kwamba rasilimali ndio shida...hiki KITU ni maksudi kipo ili kumaintain dominion over us.
maji na umeme navyo ni rare sasaWe acha tu nahivi maji hamna inazidi kuwa ngumu zaidi yaani sio poa.
Hii kitu hapaYaani hizo pesa wanazotumia kununua hayo magari na kufanya upumbavu wote ambao ni unnecessary huko serikalini ingekuwa ni mtaji wa kununua mitambo na kujenga miundo mbinu ya mamia ya viwanda na hata kuanzisha viwanda vya kuzalisha mitambo na vipuri
Afadhali hata hao matajiri wenye fursa za mikopo wakati mimi na ulala hoi wangu hata huyo wa kumkopa sinaIla anaweza kuwa na stress kuliko wewe unafikri biashara ikiwa affected matajiri wanalipa vipi mikopo
Basi endelea kulala hoi mkuuAfadhali hata hao matajiri wenye fursa za mikopo wakati mimi na ulala hoi wangu hata huyo wa kumkopa sina
Poa Mzee babaBasi endelea kulala hoi mkuu