Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
😂I agree with you, everything is imported mpaka bahasha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ni aibuView attachment 2420328
Bado hatujapata Kiongozi wa kutegua huo mtego. Wapo bize na kulamba asali na v8. China walipata bahati ya kuwa na Deng Xiaping ndio aliutegua huo mtego na ndio maana mpaka leo China ni taifa tajiri. Huko ulaya usa huo mtego waliutegua toka miaka ya 1700-1800 ndio maana mpaka leo hao jamaa ni matajiri kutokana na capitalism ideology.