Kwanini Hela imekuwa ngumu mtaani?

Kwanini Hela imekuwa ngumu mtaani?

City Rider

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2022
Posts
402
Reaction score
1,212
Kwa mara ya kwanza tangu 2017 inflation rate imefikia 4.8% and expected to reach 4.9% at the end of this year. Hii ina maana gani

1. Nguvu ya manunuzi imepungua sana kwahiyo hakuna mzunguko mkubwa wa pesa
2. Tsh itaendelea ku-depreciate against other currencies
3. Nguvu za kiume itakuwa ni changamoto sababu ya ugumu wa maisha kwa vijana[emoji3]
4. Magonjwa ya akili yataongezeka sababu ya challenge za mfuko na lindi la majukumu
5. Unemployment rate itaendelea kuwa kubwa
6. Bidhaa za vyakula, usafiri na vinywaji hazitakamatika

Mungu tuvushe salama

Picha ya kwanza ni dollar against Tsh since year 2000

Picha ya pili ni inflation rate this year
Tanzania-Exchange_Rate.gif
download.jpg
 
Tanzania tuna mzunguko mdogo sana wa hela. Na huo mzunguko mdogo pia mwingi inaisha kwenye kuagiza vitu nje kuliko kuzalisha bidhaa na huduma. Kiufupi sisi Tanzania tunaagiza sana kuliko kuuza nje. Lazima iwe ngumu. Yaani kila kitu tunaagiza sana😂. Sehemu iliyobakia ya mzunguko wa hela inaishia kwenye kodi na tozo. Ambazo wanalipwa wakandarasi toka nje wanaoagiza.

Tafuta data/taarifa ya trend ya uagizaji na uuzaji wa nje kwa miaka 5 mfululizo kisha angaliz bidhaa 20 zinazoagizwa na thamani yake na tunazo uza nje na kupata forex (fedha za nje) ndio utaelewa. 😂😂
 
Vita ya Ukraine Vs Russia plus mama ndio kwanza ana mwaka mmoja na miezi kadhaa tangia ashike usukani. All in all, wote hatuwezi kuwa na pesa nyingi kwa maana hata South Africa masikini wapo.
 
Tanzania tuna mzunguko mdogo sana wa hela. Na huo mzunguko mdogo pia mwingi inaisha kwenye kuagiza vitu nje kuliko kuzalisha bidhaa na huduma. Kiufupi sisi Tanzania tunaagiza sana kuliko kuuza nje. Lazima iwe ngumu. Yaani kila kitu tunaagiza sana[emoji23].
Kweli mzunguko hamna, watu na vibiashara vyao huku mtaani utawaonea huruma, kila siku wanafungua na zinakufa ndan ya muda mfupi.
Juzi nikawasikia et mtaa huu una laana [emoji3][emoji3]
 
I agree with you, everything is imported mpaka bahasha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ni aibu
images%20(56).jpg
 
Vita ya Ukraine Vs Russia plus mama ndio kwanza ana mwaka mmoja na miezi kadhaa tangia ashike usukani. All in all, wote hatuwezi kuwa na pesa nyingi kwa maana hata South Africa masikini wapo.
Sijui kama umeelewa vizuri thread, sio issue ya masikini na utajiri purchasing power ikipungua hata Bakhresa anaathirika
 
Na huu ni mwanzo tu mkuu,tuendako ni kubaya zaidi..tujiandae hasa! Mbwa watalamba reli na watu watachemsha viatu vyao japo wapate supu!
Siku hizi hata wale wanaofanya umalaya wanalalamika wateja hamna,unadhani nyege zitatoka wapi? Kila mtu anachopata hakitoshi na familia...atafikiria kuhonga nje? (Japo wapo wachache walioshupaza shingo) kiujumla maisha ni magumu sana..
 
Kweli mzunguko hamna, watu na vibiashara vyao huku mtaani utawaonea huruma, kila siku wanafungua na zinakufa ndan ya muda mfupi.
Juzi nikawasikia et mtaa huu una laana [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ebwanaeeeh hali ni ngumu
 
Kweli mzunguko hamna, watu na vibiashara vyao huku mtaani utawaonea huruma, kila siku wanafungua na zinakufa ndan ya muda mfupi.
Juzi nikawasikia et mtaa huu una laana [emoji3][emoji3]
😂😂
Ngoja nikwambie ukweli. Tanzania tuna mzunguko mdogo sana wa hela. Halafu kila kitu tunaagiza. Kwa hiyo biashara tunazofanya zinafanana na zinakuwa nyingi kuliko wateja. Na purchasing power ipo chini. Kwa hiyo raia wataishia kununua daily consumables (bidhaa ambazo kila siku lazima utumie/ulipie)

Ndio maana matajiri wengi wa Bongo wanawekeza kwenye biashara ambazo kila siku mtu lazima utumie
1. Mafuta ya magari(diesel/petrol)
2. Sukari
3. Chumvi
4. Kiberiti
5. Ngano
6. Mafuta ya kula
7. Sabuni za kipande
8. Sabuni za unga
9. Usafiri na usafirishaji
10. Pedi na pampers
11. Juisi, beverages na maji
12. Pombe
13. Mitandao ya simu/bando

Nadhani umenipata. Chanzo ni mzunguko mdogo sana wa hela hivyo hela kuwa ngumu na watu kutumia hela kwa ajili ya vitu vinavyo hitajika kila siku. Unadhani kwanini bakhresa kawekeza kwenye ngano, azamtv bagamoyo sugar? Au kwa nini mo yupo bize na mafuta ya kula, sabuni za unga? Unadhani kwanini azania wamehamia kwenye sabuni ya kipande na unga? Maana yake huko kwenye sabuni za kipande na sabuni za unga ndio kuna hela 😂
 
Kwa mara ya kwanza tangu 2017 inflation rate imefikia 4.8% and expected to reach 4.9% at the end of this year. Hii ina maana gani

1. Nguvu ya manunuzi imepungua sana kwahiyo hakuna mzunguko mkubwa wa pesa
2. Tsh itaendelea ku-depreciate against other currencies
3. Nguvu za kiume itakuwa ni changamoto sababu ya ugumu wa maisha kwa vijana[emoji3]
4. Magonjwa ya akili yataongezeka sababu ya challenge za mfuko na lindi la majukumu
5. Unemployment rate itaendelea kuwa kubwa
6. Bidhaa za vyakula, usafiri na vinywaji hazitakamatika

Mungu tuvushe salama

Picha ya kwanza ni dollar against Tsh since year 2000

Picha ya pili ni inflation rate this yearView attachment 2420326View attachment 2420327
Kula mtori ,nyama utazikuta chini
 
Tanzania tuna mzunguko mdogo sana wa hela. Na huo mzunguko mdogo pia mwingi inaisha kwenye kuagiza vitu nje kuliko kuzalisha bidhaa na huduma. Kiufupi sisi Tanzania tunaagiza sana kuliko kuuza nje. Lazima iwe ngumu. Yaani kila kitu tunaagiza sana[emoji23]. Sehemu iliyobakia ya mzunguko wa hela inaishia kwenye kodi na tozo. Ambazo wanalipwa wakandarasi toka nje wanaoagiza.

Tafuta data/taarifa ya trend ya uagizaji na uuzaji wa nje kwa miaka 5 mfululizo kisha angaliz bidhaa 20 zinazoagizwa na thamani yake na tunazo uza nje na kupata forex (fedha za nje) ndio utaelewa. [emoji23][emoji23]
Trade imbalance ni tatizo kubwa sana , huwezi kuwa na taifa la wachuuzi na machinga na madalali bila kuwa na real productivity ya bidhaa kuuza nje ya nchi na kusatisfy soko la ndani ukadhani unajenga uchumi hata siku moja , miaka bilioni Tz itabaki hii huu ,hakuna kutoboa kwa mwendo huu
 
Back
Top Bottom