Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua wapi tungeanzia? Bwawa la Nyerere lingalitoa umeme wa uhakika lakini kwa bei ndogo ili bidhaa tutakazotengeneza hapa nchini ziwe rahisi. Usafirishaji wa Malighafi (SGR) kama nayo isingechakachuliwa ili uwe wa bei ndogo.Si ndio hapo , yaani resources ya ardhi ,maji iliyopo nchi hii ilitakiwa iwe ni fursa tosha ya kuondoa tatizo za ukosefu wa ajira na hiyo trade imbalance lakini zimebaki siasa tu ,miaka na miaka ,no real action .
Badala ya mabenki kutoa mikopo ya ununuzi wa mitambo ya uzalishaji wa bidhaa kwenye viwanda na kwenye kilimo .
Eti rais anahamasisha machinga kupewa mikopo , hii akili ya mtu mweusi ni giza kabisa
Hivi nchi
Mimi siamini pesa hipo kwa wanao tafuta na hakuna hali nzuri wala mbaya kwa nchi yetu hii tangu enzi za nyerere mpaka sasa walikuwepo na pia hata sasa wapo walalamishi lakini wanao fanikiwa wapo pia tena wengi cha msingi ni kuzidi kutafuta bila kukata tamaa, hali aitakuja badilika ata aje nani.Kwa mara ya kwanza tangu 2017 inflation rate imefikia 4.8% and expected to reach 4.9% at the end of this year. Hii ina maana gani
1. Nguvu ya manunuzi imepungua sana kwahiyo hakuna mzunguko mkubwa wa pesa
2. Tsh itaendelea ku-depreciate against other currencies
3. Nguvu za kiume itakuwa ni changamoto sababu ya ugumu wa maisha kwa vijana[emoji3]
4. Magonjwa ya akili yataongezeka sababu ya challenge za mfuko na lindi la majukumu
5. Unemployment rate itaendelea kuwa kubwa
6. Bidhaa za vyakula, usafiri na vinywaji hazitakamatika
Mungu tuvushe salama
Picha ya kwanza ni dollar against Tsh since year 2000
Picha ya pili ni inflation rate this yearView attachment 2420326View attachment 2420327
Upo sahihiTanzania tuna mzunguko mdogo sana wa hela. Na huo mzunguko mdogo pia mwingi inaisha kwenye kuagiza vitu nje kuliko kuzalisha bidhaa na huduma. Kiufupi sisi Tanzania tunaagiza sana kuliko kuuza nje. Lazima iwe ngumu. Yaani kila kitu tunaagiza sana[emoji23]. Sehemu iliyobakia ya mzunguko wa hela inaishia kwenye kodi na tozo. Ambazo wanalipwa wakandarasi toka nje wanaoagiza.
Tafuta data/taarifa ya trend ya uagizaji na uuzaji wa nje kwa miaka 5 mfululizo kisha angaliz bidhaa 20 zinazoagizwa na thamani yake na tunazo uza nje na kupata forex (fedha za nje) ndio utaelewa. [emoji23][emoji23]
Hiv Deng Xiaoping aliwezaje[emoji23]
Bado hatujapata Kiongozi wa kutegua huo mtego. Wapo bize na kulamba asali na v8. China walipata bahati ya kuwa na Deng Xiaping ndio aliutegua huo mtego na ndio maana mpaka leo China ni taifa tajiri. Huko ulaya usa huo mtego waliutegua toka miaka ya 1700-1800 ndio maana mpaka leo hao jamaa ni matajiri kutokana na capitalism ideology.
Hatari sanaHali ya maisha mtaani imekuwa ni tete kwa kweli. Mzunguko wa biashara uko chini sana.
Fedha kwa sasa haina thamani kutokana na bei ya bidhaa nyingi muhimu kupanda bei kupitiliza kiwango cha kawaida. Halafu kibaya zaidi haipatikani kirahisi! Ukiipata, inaisha kirahisi rahisi tu!!
Ukiondoa hiyo vita ya Urusi na Ukraine, kwa mtazamo wangu naona pia kitendo cha hii serikali ya huyu mama kuja na hi mitozo yao isiyo na kichwa wala miguu! Na yenyewe imechangia pakubwa sana kuyafanya maisha ya wananchi wa kawaida kuwa magumu.
Bwawa la Nyerere lingekamilika kama ilivyopangwa, kisha SGR nayo ikawa networked kama ilivyokuwa imepangwa ingekuwa ni hatua kubwa sana za mwanzo mwanzo kujinasua kaa taifa.Unajua wapi tungeanzia? Bwawa la Nyerere lingalitoa umeme wa uhakika lakini kwa bei ndogo ili bidhaa tutakazotengeneza hapa nchini ziwe rahisi. Usafirishaji wa Malighafi (SGR) kama nayo isingechakachuliwa ili uwe wa bei ndogo.
Akili ya mtu mweusi huwa ikikosa majibu inawazia muujiza kutoka katika matatizo.Kweli mzunguko hamna, watu na vibiashara vyao huku mtaani utawaonea huruma, kila siku wanafungua na zinakufa ndan ya muda mfupi.
Juzi nikawasikia et mtaa huu una laana [emoji3][emoji3]
Na kwa idadi ya wamachinga iliyopo ni wazi wanategemea uagizwaji wa bidhaa ziwe ni za kitumba au mpya toka viwandani kuja kuziuza.Si ndio hapo , yaani resources ya ardhi ,maji iliyopo nchi hii ilitakiwa iwe ni fursa tosha ya kuondoa tatizo za ukosefu wa ajira na hiyo trade imbalance lakini zimebaki siasa tu ,miaka na miaka ,no real action .
Badala ya mabenki kutoa mikopo ya ununuzi wa mitambo ya uzalishaji wa bidhaa kwenye viwanda na kwenye kilimo .
Eti rais anahamasisha machinga kupewa mikopo , hii akili ya mtu mweusi ni giza kabisa
Hivi nchi
No 3 ni hatari. January inakuja. wenye watoto schools hata mshtuko hatuuoniKwa mara ya kwanza tangu 2017 inflation rate imefikia 4.8% and expected to reach 4.9% at the end of this year. Hii ina maana gani
1. Nguvu ya manunuzi imepungua sana kwahiyo hakuna mzunguko mkubwa wa pesa
2. Tsh itaendelea ku-depreciate against other currencies
3. Nguvu za kiume itakuwa ni changamoto sababu ya ugumu wa maisha kwa vijana[emoji3]
4. Magonjwa ya akili yataongezeka sababu ya challenge za mfuko na lindi la majukumu
5. Unemployment rate itaendelea kuwa kubwa
6. Bidhaa za vyakula, usafiri na vinywaji hazitakamatika
Mungu tuvushe salama
Picha ya kwanza ni dollar against Tsh since year 2000
Picha ya pili ni inflation rate this yearView attachment 2420326View attachment 2420327
Acha tu kakaNo 3 ni hatari. January inakuja. wenye watoto schools hata mshtuko hatuuoni
Shida ni kuexport kiwango kikubwa cha mazao kuliko uwezo wetu wa kuzalisha.Kupanda vitu bei, ina maana vitu vimeadimika au vimekuwa vichache na mahitaji ni makubwa; cha kufanya kwa sasa kwa upande wa kilimo, kila mmoja ajitahidi angalau kulima ekari mbili za nafaka ili kuongeza wingi wa chakula.