Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,688
- 8,274
Hela ya kenya ina thamani kuliko ya Tz kwenye hesabu za kuuziana hizo pesa,lakini ukija kwenye manunuzi ya bidhaa pesa ya Tanzania ina thamani kubwa kuliko nchi zote za Afrika mashariki pamoja na baadhi za kusini kama malawi,zambia na Zimbabwe. Mfano mzuri ukienda kenya uwe na ile 1000 ya kenya ambayo thamani ya hiyo 1000 ni elfu 18000 ya kibongo kwa mgawanyo wa kuuziana. Hiyo 18000 ya kibongo unanunua jeans moja ya ukweli tu. Ila ili upate Jean's kama hiyo ya elfu 18000 ukiwa kenya lazima utoe 2000 mpaka 1500 hapo ya kenya. Hesabu zingine utamalizia mwenyewe hapo. Vivyo hivyo na malawi pia