Kwanini heshima anayopewa FID Q na wabongo kwenye HipHop haitendei haki?

Kwanini heshima anayopewa FID Q na wabongo kwenye HipHop haitendei haki?

Fid Q anafuata nyayo za Guru wa Gangstarr.

Mistari mikali, lakini kwenye tuzo na mauzo chini.

In fact ukisikiliza mistari fulani ya Fid Q, kama umemsikiliza sana Guru, utaona katafsiri mistari ya Guru kwenye Kiswahili.
Moja ya kazi yake nzuri kabisa
 
Nitakutafutia. Ukisema unamsikiliza Fid daily hiyo ni nusu tu ya mlinganyo. Mimi nimemsikiliza Guru miaka 28 sasa na Fid tangu anaanza.
mkuu niliquote tu bila kujua ni wewe..hahahahahaa sina bifu mkuu ya kule ya kule tu..shwari lakini
 
mkuu niliquote tu bila kujua ni wewe..hahahahahaa sina bifu mkuu ya kule ya kule tu..shwari lakini

Mimi hata sikukumbukibwewe ni nani na hayo ya kule unakosema ni wapi.

Nabishana na watu hamsini kwa siku.
Siangalii jina, naangalia hoja.

Na wala sijasema kuna bifu. Mimi bifuvsitumii kwa sababu ni vegetarian.

Shwari kama zero entropy equilibrium.
 
Fid Q watu wangu wa mtaani walisha nitabiria mm ndiyo Mfalme, baada ya Mfalme Suleman
 
Mimi hata sikukumbukibwewe ni nani na hayo ya kule unakosema ni wapi.

Nabishana na watu hamsini kwa siku.
Siangalii jina, naangalia hoja.

Na wala sijasema kuna bifu. Mimi bifuvsitumii kwa sababu ni vegetarian.

Shwari kama zero entropy equilibrium.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti kwa siku nabishana na watu hamsini Daaah!
Ngoja na mimi niingie chimbo nibukue kwa miaka kama kumi 2027 ntarudi nisumbue kwa logic hapa JF.ila nakukubal sana mkuu sema tu wewe atheism.
 
Fid ni rapper mkali sana tatizo ni mshamba nahisi ameathiliwa na usukuma wake!
 
Mimi hata sikukumbukibwewe ni nani na hayo ya kule unakosema ni wapi.

Nabishana na watu hamsini kwa siku.
Siangalii jina, naangalia hoja.

Na wala sijasema kuna bifu. Mimi bifuvsitumii kwa sababu ni vegetarian.

Shwari kama zero entropy equilibrium.
we vegetarian hujui chochote kuhusu bifu siyo..haya mkuu najua hayo ya kudai hunijui ni 'maradhi' ya unafiki tu
 
we vegetarian hujui chochote kuhusu bifu siyo..haya mkuu najua hayo ya kudai hunijui ni 'maradhi' ya unafiki tu
Unafiki ni kusema unafiki kinafiki.

Mimi sijijui mwenyewe, nitakujua wewe?

Nikiandika kiSockrati usiponielewa sishangai.
 
Fatilia nyimbo mpya ya upo hapo ndo utajua kwanini fareed Ni mfalme Wa mziki huu hapa nyumbani
 
People expect him to be the most and yet hiphop gets the least from all corners in Tz.
 
Pengine umeandika kweli ila kuna baadhi ya vitu ujasema ukweli.

Fid Q hana tuzo 1 ktma anazo zaidi ya 4....Na Mwaka juzi Fid Q alikuwa Coke Studio vile vile
 
[HASHTAG]#Lord[/HASHTAG] of the war!
Fid jeshi la mtu mmoja, kumwelewa inahitaji akili kubwa, kaa na akina bilnas huko
 
Back
Top Bottom