kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Hata mm nilitaka kuandika hiviMimi naomba nikurekebishe Fid Q ana tuzo nne za KTMA.
Ngoma ya mwanza mwanza ilimpa tuzo mbili ya wimbo bora na msanii bora wa hiphop mwaka sikumbuki ilikuwa mwaka gani.
Mwaka 2014 pia alichukua tuzo ya mtunzi bora wa mashairi ya hiphop na msanii bora wa hiphop.
Alishawahi kushiriki coke studio mwaka 2015.
Unapoanzisha thread uwe na uhakika na detail zako usitulishe matango pori.
Ni hayo tu.