Nitakutafutia. Ukisema unamsikiliza Fid daily hiyo ni nusu tu ya mlinganyo. Mimi nimemsikiliza Guru miaka 28 sasa na Fid tangu anaanza.guru yupi na mistari IPI katafsiri?!..namsikiliza fid daily
Moja ya kazi yake nzuri kabisaFid Q anafuata nyayo za Guru wa Gangstarr.
Mistari mikali, lakini kwenye tuzo na mauzo chini.
In fact ukisikiliza mistari fulani ya Fid Q, kama umemsikiliza sana Guru, utaona katafsiri mistari ya Guru kwenye Kiswahili.
Kumbe tangu liniwatu wa kusikiliza hiphop ya fid wana majukumu,ni watu wa 1988 kurudi nyuma,kizazi chenye shangwe na muziki kwa sasa ni cha 1990 kuja mbele,bill Nas hafanyi hiphop,tusidanganyane
mkuu niliquote tu bila kujua ni wewe..hahahahahaa sina bifu mkuu ya kule ya kule tu..shwari lakiniNitakutafutia. Ukisema unamsikiliza Fid daily hiyo ni nusu tu ya mlinganyo. Mimi nimemsikiliza Guru miaka 28 sasa na Fid tangu anaanza.
sijakuelewaKumbe tangu lini
mkuu niliquote tu bila kujua ni wewe..hahahahahaa sina bifu mkuu ya kule ya kule tu..shwari lakini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti kwa siku nabishana na watu hamsini Daaah!Mimi hata sikukumbukibwewe ni nani na hayo ya kule unakosema ni wapi.
Nabishana na watu hamsini kwa siku.
Siangalii jina, naangalia hoja.
Na wala sijasema kuna bifu. Mimi bifuvsitumii kwa sababu ni vegetarian.
Shwari kama zero entropy equilibrium.
we vegetarian hujui chochote kuhusu bifu siyo..haya mkuu najua hayo ya kudai hunijui ni 'maradhi' ya unafiki tuMimi hata sikukumbukibwewe ni nani na hayo ya kule unakosema ni wapi.
Nabishana na watu hamsini kwa siku.
Siangalii jina, naangalia hoja.
Na wala sijasema kuna bifu. Mimi bifuvsitumii kwa sababu ni vegetarian.
Shwari kama zero entropy equilibrium.
Unafiki ni kusema unafiki kinafiki.we vegetarian hujui chochote kuhusu bifu siyo..haya mkuu najua hayo ya kudai hunijui ni 'maradhi' ya unafiki tu
Nani really kwenye hip-hop?Fid ni really-fake kweny hip-hop.