kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Hata mm nilitaka kuandika hiviMimi naomba nikurekebishe Fid Q ana tuzo nne za KTMA.
Ngoma ya mwanza mwanza ilimpa tuzo mbili ya wimbo bora na msanii bora wa hiphop mwaka sikumbuki ilikuwa mwaka gani.
Mwaka 2014 pia alichukua tuzo ya mtunzi bora wa mashairi ya hiphop na msanii bora wa hiphop.
Alishawahi kushiriki coke studio mwaka 2015.
Unapoanzisha thread uwe na uhakika na detail zako usitulishe matango pori.
Ni hayo tu.
Yes na kuna kipindi aliitwa coke studio akawa ana ratina nyingine wakamuuliza ni nani anahisi anaweza mreplace akamtaja joh makini ndipo wakamchukua joh makiniFid Q pia nadhani ashawahi kua recognized Coke studio mkuu
Tukubari kukubari kutofautiana.Huyo FD q ni bonge la mshamba hajielewi alipotea kuingia kuipigia debe Ccm
shikamoo"" nilishawahi kuongea point kama hii kumuhusu juma nature na nyimbo zake alizoziachia "".....baadhi ya watu wacha wanipinge ""...watu wa kusikiliza hiphop ya fid wana majukumu,ni watu wa 1988 kurudi nyuma,kizazi chenye shangwe na muziki kwa sasa ni cha 1990 kuja mbele,bill Nas hafanyi hiphop,tusidanganyane
Aiseeee hahaha ""Mimi hata sikukumbukibwewe ni nani na hayo ya kule unakosema ni wapi.
Nabishana na watu hamsini kwa siku.
Siangalii jina, naangalia hoja.
Na wala sijasema kuna bifu. Mimi bifuvsitumii kwa sababu ni vegetarian.
Shwari kama zero entropy equilibrium.