Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii ndege ya serikali imeandikwa musoma.
So maybe help me to understand kwa nini iitwe musoma na sio Iringa,kasulu,sumbawanga,ilala au mji mwingine wowote?
Asante
Hii ni Precision Air, ni shirika binafsi.
Kila ndege wameweka jina la mahali/sehemu kulingana na walivyoona wao.
Zipo nyingi kama; Kilimanjaro, Bagamoyo, Dar es Salaam, Ngorongoro n.k