Kwanini hisa zA CRDB zimeshuka thamani?

TUKUTUKU naomba jibu na wanabodi wengine tafadhali.
Kama mikopo ambayo hailipwi imeongezeka na still benki imepata faida, hiyo faida imetoka wapi ukizingatia one of the core business and income ya any bank ni interests from loans?
 
Last edited by a moderator:
TUKUTUKU naomba jibu na wanabodi wengine tafadhali.
Kama mikopo ambayo hailipwi imeongezeka na still benki imepata faida, hiyo faida imetoka wapi ukizingatia one of the core business and income ya any bank ni interests from loans?
Mkuu mikopo isiyolipika inaweza ikawa 10% ya mikopo yote iliyotolewa na CRDB(Kwa mfano),faida inaweza kupatikana kwenye asilimia 90% ya madeni yanayolipika!
Mkuu sijafanya uchunguzi kujua ni asilimia ngapi ya madeni yasiyolipika ukilinganisha na madeni yanayolipika,lakini ni imani yangu kuwa madeni yasiyolipika ni sehemu ndogo ya mikopo yote iliyotolewa na CRDB!
Kwa kuongezea Benki inavyanzo vingi vya mapato tofauti na utoaji wa mikopo kwa mfano!
*Utozaji wa huduma za kibenki (Bank charges).
*Uwekezaji kwenye hati fungani za Serikali (Government Bonds &Treasury bills).
*Acceptance of bill of exchange na vyanzo vingine vingi!
 
asante mkuu
 
May be wana run kwa hasara na demand yake ikishuka lazima price nayo ishuke
 
Labda benki ina expand, na kama ndio hivyo kweli basi mtegemee neema baadae kwa wale wenyewe moyo na subra.

Hii inamaanisha fedha nyingi wanawekeza zaidi ndani ya benki ili baadae wanahisa waje kufaidika mara dufu.
 
hii inapelekea hisa kushuka mkuu? kwanini wasiongeze thamani ilikupata fedha nyingi halafu ndio wajenge au waboreshe zaidi benki?
 
hii inapelekea hisa kushuka mkuu? kwanini wasiongeze thamani ilikupata fedha nyingi halafu ndio wajenge au waboreshe zaidi benki?
Mkuu thamani ya hisa is determined by the forces of demand and supply!Kwa hiyo hapa hakuna suala la kupanga thamani ya hisa!
 
Lipo suala la kupanga ndugu tena zinapangwa strategically
 
Hisa ni mkusanyiko wa mtaji ambao watu wamechanga na kumpa kampuni au shirika lolote la uwekezaji nchini. Alafu faida inayopatikana inagawanywa kwa wote waliocha na kila mmoja anapata kwa kadiri alivyo changa/mtaji alioweka
 
sijaona jibu la kitaalamu mpaka sasa, ninaye ndugu yangu Oswald urassa nilitegemea angechangia hapa

Endelea kumsubiri...kwa vile umezoea kuwa kiingereza ndo utaalamu...
 
Mkuu thamani ya hisa is determined by the forces of demand and supply!Kwa hiyo hapa hakuna suala la kupanga thamani ya hisa!

Let us go further n say,bei ya hisa inakuwa determined by all the information available in the market...e.g,hisa za manchester united zilishuka bei mara baada ya taarifa za kustaaf kwa Sir Alex kufahamika,forces za supply n demand hazikusabisha moja kwa moja,but simply the information that was available...
That is Finance...for more details,read on Efficient market hypothesis.
 
Bravo.
 
Huyu atakuwa amezoea kiingereza, hata mimi nimeshamwona . Haya subiri huyo muingereza wako 😡
 
hii EMH ni ngumu kama hujapata mtaalam wakukusaidia kuielewa aisee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…