Kwanini hisa zA CRDB zimeshuka thamani?

Kwanini hisa zA CRDB zimeshuka thamani?

thinka

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
334
Reaction score
153
Great thinkers ukiangalia ndani ya mwezi huu hisa ya crdb likua inauzwa mpaka 320 lakin imeporomoka mpaka kufika 260. Je hii inaashiria nini na imesababishwa na nini?
 
...Ngoja nami nivute kiti nisubiri jibu hapa kutoka kwa wataalamu. Ningependa mno kufahamu zaidi kuhusu hili.
 
Naona wataalam wako busy tusubiri majibu jion
 
uchumi unaporomoka kwa kasi na kushusha soko kwa spidi mbaya...............note that am not mtaalamu
 
Ni kweli hisa za CRDB na za TWIGA zimeshuka,kwa twiga najua sales yao imeshuka sana
kutokana na other competitors wamekuja na price za chini kdg.Kwa crdb labda kimei aje atuambie
 
Mbona NMB na KCB hazishuki hivyo why CRDB tu?

competition mkuu, kama wao wanauza bei juu wakati wengine wanaowakaribia qualities wanauza bei ndogo kidogo lazima kutokee kinachotokea...................note that am not mtaalamu
 
It's all about their financial strategy in terms of mix of debt,earnings and payment of dividend
 
Wala hata haotegemei demand na supply bali kitu kikubwa ni performance yao sokoni ikitegemeana na financial strategy walo jiwekea.
Ukiona hisa imeshuka bei ujue either ni strategy yao ili kuweza kukopa hela nying frm the public kufinance operations zao ama ni failure to achieve their goal
Ila keep in mind kwamba goal of every financial manager Is to maximize the wealth of the shareholder by that kupandisha thamani ya hisa sokoni
 
Ni kweli hisa za CRDB na za TWIGA zimeshuka,kwa twiga najua sales yao imeshuka sana
kutokana na other competitors wamekuja na price za chini kdg.Kwa crdb labda kimei aje atuambie

Wewe mwenzetu hizo bei za hisa unasoma toka wapi; mbona hisa za Twiga ziko juu ya zile za Simba and at last count zilikuwa shs.2700!!! Sasa zimeshuka toka wapi?
 
It's all about their financial strategy in terms of mix of debt,earnings and payment of dividend

People's/market perception of how well the organization is being run can determine its share price!!!
 
Zipo sababu nyingi za hisa kushuka au kupanda bei sokoni:
Moja,mtazamo wa jamii kuhusu performance ya kampuni sokoni,kwa mfano,bei za hisa za benki tajwa,zimepanda sana bei tangu januari,hii huweza kuwafanya wanahisa kutaka kuziuza ili kupata faida,jambo ambalo husababisha supply ya hisa kuwa kubwa sokoni,jambo ambalo hupelekea bei kushuka.
Pili benki husika inaweza kusababisha bei za hisa sokoni kushuka au kupanda kwa kuuza akiba ya hisa zake au kujinunulia toka sokoni baadhi ya hisa zake.
Tatu,
See you next time!
 
sijaona jibu la kitaalamu mpaka sasa, ninaye ndugu yangu Oswald urassa nilitegemea angechangia hapa
 
Kushuka kwa dhamani ya hisa za CRDB zimesababishwa na kuongezeka kwa hisa zilipelekwa sokoni kwa ajili ya kuuzwa,ukilinganisha na mahitaji halisi ya hisa zinazohitajika sokoni!(Refer to the law of demand and supply in determination of price)!Hili ni zao tu,cha kujiuliza hapa ni kwamba,kwanini watu wengi wamepeleka hisa zao sokoni?
Kulingana na utafiti mdogo nilioufanya (As financial analyst) ni kwamba hivi karibuni CRDB wametoa taarifa zake za fedha kwa robo ya pili ya mwaka,ambazo kwa upande wa faida ,benki imepata faida ya Tshs 20.04 bilioni ukilinganisha na Tshs 16.51 bilioni iliyoipata kwa robo ya mwaka iliyotangulia,hii ni sawa na ongezeko la aslimia 24.Ukija kuangalia suala la mikopo ambayo hailipwi kumekuwa na ongezeko kubwa kutoka Tshs 124.169 bilioni mpaka 139.307 bilioni jambo ambalo si zuri kwa kampuni (Source:CRDB published information for second quarter).
Kwa kuwa wanahisa kwa kushirikiana na financial analysts na brokers, huwa wapo very sensitive na hizi taarifa za kifedha wengi wameshauriwa kuuza hiza zao kwa kuwa benki imeonyesha uzembe mkubwa katika ukusanyaji wa madeni,na hivyo kuhatarisha its going concern(Uwepo wake kwa siku zijazo).

Naomba kuwasilisha wanabodi!
 
Nashukuru kwa malezo ya kina mkurugenzi TUKUTUKU.
Mi nilijua kua yawezekana benki imepata hasara na ndio mana hisa zimeshuka kumbe faida imepatikana isipokuwa bad debts zimeongezeka.
Technically you have unlocked the puzzle.
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru kwa malezo ya kina mkurugenzi TUKUTUKU.
Mi nilijua kua yawezekana benki imepata hasara na ndio mana hisa zimeshuka kumbe faida imepatikana isipokuwa bad debts zimeongezeka.
Technically you have unlocked the puzzle.
Nashukuru mkuu,tupo pamoja!
 
Back
Top Bottom