Kwanini historia ya Zanzibar ya kweli haisomeshwi?


History ya zenji chungu.
1957 Nyerere alianzisha chama chake huko kilichopindua. Msikilize Ali Muhsin Barwani (Waziri wa mambo ya nje enzi hizo kabla ya Mapinduzi)
 
Mwana JF, Paskali, anakutakia wewe na familia yako HERI YA SIKUKUU YA MAPINDUZI MATUKUFU
YA ZANZIBAR!
Paskali
 
Mwana JF, Paskali, anakutakia wewe na familia yako HERI YA SIKUKUU YA MAPINDUZI MATUKUFU
YA ZANZIBAR!
Paskali
Historia ya mapinduzi ya Zanzibar inatakiwa kuandikwa upya.

Historia ya Uhuru wa Zanzibar toka Uingereza iadhimishwe pia.
 
Wanarudi taratibu wakitokea Oman.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…