MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kuna Jogging Club moja mahala fulani Mwenyekiti na Katibu wanatuhumiana kwa Mmoja kumzidi Mwenzake idadi ya Wanawake aliyolala nao.
Na katika Jogging Club hiyo hiyo Wanawake wakikimbia muda Wote Wanakuwa Wananuniana kwani wapo ambao Wanawaibia Wenzao Waume na Wapenzi Wao.
Na katika Jogging Club hiyo hiyo Mweka Hazina anashutumiwa kwa Kunenepa kwa Kasi / Ghafla kuliko alivyokuja ambapo alikuwa ni Mbau Mbau kama Mlingoti wa Bendera ya Taifa.
Nitapenda zaidi kujua ni kwanini kuna Mhimizo mkubwa wa Jogging Clubs katika kutaka Watu Kujiunga nazo kwani kama ni Suala la kufanya Mazoezi unaweza kufanya hata ukiwa tu Chumbani au Kibarazani Kwako na bado ukawa Fiti kabisa Kiafya.