Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan hii mikoa ambayo watu wanaikimbia ilibidi iwe kipau mbeleKuna waajiriwa wapya wa Tume ya utumishi wa Mahakama nao wako pembezoni pia hawajalipwa fedha ya kujikimu!
Inasikitisha mtu miezi inaenda hajawekewa Hela ya kujikimu unajiuliza anaishije huyu mtu huko!
hiyo migebuka unavuaje labda kama unaweza kuogelea uwr unashinda ufukweni una chota na net mbovuWatakuja Kukanusha Yote Haya Hivi Yule Waziri Wa Kugalagala Akimshukuru SSH
Ajutahidi Walipwe Pesa, Watu Wamechoka Kula Migebuka Na Mikate Hapo Kwa Bella
Hapana Lindi.Nao wako kigoma??
Viongozi Wetu Jau Sanahiyo migebuka unavuaje labda kama unaweza kuogelea uwr unashinda ufukweni una chota na net mbovu
Unailinganisha Maweni na Hospitali gani? MNH?Wakuu,
Hawa waajiriwa wapya wa maweni wote hawajalipwa hela za kujikimu!
Na ukiangalia intake yako hospitali zingine zote wamelipwa.
Ndo kusema ukiwa kigoma kila kitu kigumu hadi stahiki muhimu kama hii.
AFU MLALAMIKE STAFF HAWAKAI KWELI.
RMO Yupo Kwenye Usingizi Fo Fo FoUongozi ndio shida
kafieni mbele huko na ajira zenu za mchongo .Wakuu,
Hawa waajiriwa wapya wa maweni wote hawajalipwa hela za kujikimu!
Na ukiangalia intake yako hospitali zingine zote wamelipwa.
Ndo kusema ukiwa kigoma kila kitu kigumu hadi stahiki muhimu kama hii.
AFU MLALAMIKE STAFF HAWAKAI KWELI.
RMO Yupo Kwenye Usingizi Fo Fo Fo
Anakunywa Chai Tu Ofisini Akijifanya Hajui Matatizo Ya Waajiriwa Wapya
Nakujua ww !! ndo nyie mnakwamisha mambo mnashindwa kufanya kazi mlizopangiwakafieni mbele huko na ajira zenu za mchongo .