Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan mwanangu daahWahusika kama mpo humu wasaidieni watumishi wenu hasa hiyo hospital ya Maweni Kigoma.
Ina ubabaishaji mwingi
Watu hawalipwi likizo na madai mengine Kwa wakati.
Wizara ya afya imulikeni hyo hospital inalalamikiwa na watumishi wengi wanaofanya KAZI hapo.
Kuna vingunge hapo wanafanya KAZI Kwa mazoea.
Kuna moja yupo kwene huu uzi kashashiba migebuka anajibu majibu yasiyo na weredi sijui ndio wazimu @mwWahusika kama mpo humu wasaidieni watumishi wenu hasa hiyo hospital ya Maweni Kigoma.
Ina ubabaishaji mwingi
Watu hawalipwi likizo na madai mengine Kwa wakati.
Wizara ya afya imulikeni hyo hospital inalalamikiwa na watumishi wengi wanaofanya KAZI hapo.
Kuna vingunge hapo wanafanya KAZI Kwa mazoea.
hiyo induction hela za semina wanazoLakini watumishi wa umma kuna wakati mnayumba sana yaani hamfahamu protocol ya kuwasilisha malalamiko yenu kwa wakubwa wenu wa kazi mpaka myalete mtandaoni ???.
Nashauri …
1. Serikali izingatie kwa umakini zaidi vetting ya wafanyakazi wake ikiwepo na mabosi wao wachujwe haswa kufahamu ufahamu wao.
2.Induction course iwe ni ya lazima kila staff mpya anapoajiliwa
3.Viongozi watimize wajibu wao haraka pasi na kusukumwa
Ndio kula hata makande kwenye hizi siku mbili tatuAu cyo
Mambo yangekua yanaenda huu mtandao usingekua una uzi hata mmoja.Lakini watumishi wa umma kuna wakati mnayumba sana yaani hamfahamu protocol ya kuwasilisha malalamiko yenu kwa wakubwa wenu wa kazi mpaka myalete mtandaoni ???.
Nashauri …
1. Serikali izingatie kwa umakini zaidi vetting ya wafanyakazi wake ikiwepo na mabosi wao wachujwe haswa kufahamu ufahamu wao.
2.Induction course iwe ni ya lazima kila staff mpya anapoajiliwa
3.Viongozi watimize wajibu wao haraka pasi na kusukumwa
Mbona madokezo ta posho yanapita kwanini induction isifanyike???!hiyo induction hela za semina wanazo
Swali Gumu Majibu marahisiMtalipwa. Kumbukeni waajiri wengi wamepewa staff wengi. RRH inatoa wapi 100 M ya fasta ya kuwalipa hela ya kujikimu. Endeleeni kutumia mshahara tutalipa kidogo kidogo as tunakusanya
Swali Gumu Majibu marahisi
Basi sasa si wangebaki nyumban hadi mtu alipwe ndo aingie kazini??
fisadi ni huyo aliekupa ajira ya mchongoNakujua ww !! ndo nyie mnakwamisha mambo mnashindwa kufanya kazi mlizopangiwa
FISADI MKUBWA WW
KWAMBA MAWENI TU ndo imepangiwa watumishi wengi kuliko uwezo wake??Mtalipwa. Kumbukeni waajiri wengi wamepewa staff wengi. RRH inatoa wapi 100 M ya fasta ya kuwalipa hela ya kujikimu. Endeleeni kutumia mshahara tutalipa kidogo kidogo as tunakusanya
Mshahara unakuja kila mwezi. Tuliwaambia mkae kwanza home hadi mshahara wa Disemba uingie ndio mje.mshahara unaweza ku cover expense za miezi mitatu??
Unalipwa sh ngap ndugu yangu
na ndio maana nilisema kafie mbele na ajira zenu za mchongo😂😂😂😂Interview umeshindwa unataka ajira za bure!
Serikali haiwezi ajiri vilaza
Lia tu bro