Kwanini Hospitali ya Maweni-Kigoma hailipi pela za kujikimu kwa waajiriwa wapya?

Yaan mwanangu daah
 
Kuna moja yupo kwene huu uzi kashashiba migebuka anajibu majibu yasiyo na weredi sijui ndio wazimu @mw
 
Lakini watumishi wa umma kuna wakati mnayumba sana yaani hamfahamu protocol ya kuwasilisha malalamiko yenu kwa wakubwa wenu wa kazi mpaka myalete mtandaoni ???.
Nashauri …
1. Serikali izingatie kwa umakini zaidi vetting ya wafanyakazi wake ikiwepo na mabosi wao wachujwe haswa kufahamu ufahamu wao.
2.Induction course iwe ni ya lazima kila staff mpya anapoajiliwa
3.Viongozi watimize wajibu wao haraka pasi na kusukumwa
 
hiyo induction hela za semina wanazo
 
Mambo yangekua yanaenda huu mtandao usingekua una uzi hata mmoja.
Nadhani jielimishe kidogo kazi ya mitandao na vyombo vya habar
 
Mtalipwa. Kumbukeni waajiri wengi wamepewa staff wengi. RRH inatoa wapi 100 M ya fasta ya kuwalipa hela ya kujikimu. Endeleeni kutumia mshahara tutalipa kidogo kidogo as tunakusanya
 
Mtalipwa. Kumbukeni waajiri wengi wamepewa staff wengi. RRH inatoa wapi 100 M ya fasta ya kuwalipa hela ya kujikimu. Endeleeni kutumia mshahara tutalipa kidogo kidogo as tunakusanya
Swali Gumu Majibu marahisi
Basi sasa si wangebaki nyumban hadi mtu alipwe ndo aingie kazini??
 
Mtalipwa. Kumbukeni waajiri wengi wamepewa staff wengi. RRH inatoa wapi 100 M ya fasta ya kuwalipa hela ya kujikimu. Endeleeni kutumia mshahara tutalipa kidogo kidogo as tunakusanya
KWAMBA MAWENI TU ndo imepangiwa watumishi wengi kuliko uwezo wake??
Hizo sehemu nyingine pesa wametoa wap??
Mi najua kigoma haikua na nafasi nyingi kiivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…