Kwanini Hospitali ya Maweni-Kigoma hailipi pela za kujikimu kwa waajiriwa wapya?

Mshahara unakuja kila mwezi. Tuliwaambia mkae kwanza home hadi mshahara wa Disemba uingie ndio mje.
Nadhani unachokiongea hukifahamu kama unakifahamu utakua unafaidika na huu mfumo!!
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Interview umeshindwa unataka ajira za bure!

Serikali haiwezi ajiri vilaza
Lia tu bro
na ndio maana nilisema kafie mbele na ajira zenu za mcho
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Interview umeshindwa unataka ajira za bure!

Serikali haiwezi ajiri vilaza
Lia tu bro
nilie kwa sababu ya laki tano na sabini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ au laki saba na themanini??....huko nimevuka mdogo wangu kwa sasa napigania kupata mradi wa kudumu na makazi ya kudumu, hiyo interview yenyewe sikuweza kuingia kwa sababu niliishakuwa black listed toka enzi za magufuri.....
 
Watakuja Kukanusha Yote Haya Hivi Yule Waziri Wa Kugalagala Akimshukuru SSH
Ajutahidi Walipwe Pesa, Watu Wamechoka Kula Migebuka Na Mikate Hapo Kwa Bella
Hapo kwa Bella jioni kunakuwa na migebuka tele na lowe
 
ndo mambo ninayo kataa yaan upelekwe polini upate tabu ya kimazingira na upate tabu ya stahiki
 
Ila cha ajabu jamaa wapo wanalipana posho tu kila siku.

..........Kazi za serikalini sometimes za hovyo sana.
Hiyo hao kawaida sana !
Wahusika huko wanakaa vikao kutafuta sababu za mezani wakati wao hela wanatusua.

Ukipiga ziara za kushtukiza utashangaa madudu yaliyopo hapo
 
sasa mbona mkuu una hasira na hawa ajira mpya kumbe naww ni vyeti feki
 
Mtalipwa. Kumbukeni waajiri wengi wamepewa staff wengi. RRH inatoa wapi 100 M ya fasta ya kuwalipa hela ya kujikimu. Endeleeni kutumia mshahara tutalipa kidogo kidogo as tunakusanya
Kumbe mkurugenzi sijui RMO upo??

Kwaiyo hospitali haina hela??
Wenzenu hela wanatoa wap au ndo urasimu umejaaa


Hamna wziri wa afya akakague hii hospitali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ