Kwanini hujatoboa mpaka leo?

sawa lakini hunaweza kuthibitisha hili?
nishashudia bro zangu wanaanza hustle chini kabisa mbaka wanajipata unatak ni amini ni majambazi au wachawi ka unavyosema
pesa halali zipo ni kupambana tu
 
Watu wanauza magendo sana mkuu.

Wizi na ujambazi.
Niliajiriwa miaka ya nyuma kwenye Kampuni ya Mhindi nilikaa kama miaka miwili hivi....then akaajiriwa dogo mmoja hivi.

Aisee baada ya Mwaka mmoja dogo akajenga nyumba. A akanunua na gari.

Ndani ya mwaka huo huo dogo akawekewa mtego.....kumbe alikuwa anapiga hela za ofisi alikamatwa na Dola elfu 8 zikiwa kwenye begi akiwa border anasafiri asepe.

Sisi tulijifanya waadilifu tuliambulia hela ya mboga tu.
 
sawa lakini hunaweza kuthibitisha hili?
nishashudia bro zangu wanaanza hustle chini kabisa mbaka wanajipata unatak ni amini ni majambazi au wachawi ka unavyosema
pesa halali zipo ni kupambana tu
Hawa ndio usiwaamini kabisa....sio wote lakini.

Kama unataka kuelewa tembelea Shuhuda za Kweli Kule Davista Mata Youtube ndio uone jinsi Ulimwengu umechafuka.
 
Watu ni matajiri na majina yao hapa mjini ila walikua majambazi na wezi wakubwa.
 
unahisi pesa zinapatikana kwa kulipwa mishahara tu
watu wanapambana wengine kwenye kilimo wengine kwenye biashara na wengine kwenye migodi na wanajipata wananunua na range na izo v8
Mkuu unakunbuka Miaka ya Nyuma hapa Tajiri Mmoja anaitwa Masanja Mkandamizaji alisema mabilion yake kayapata kwenye Kilimo cha Mahindi na Mpunga huko Mbeya.

Swali nikuulize: Je bado analima mahindi na Mpunga? Kama halimi kwanini aache biashara inayomwingizia mabilioni?

Vipi kilimo cha Tumbaku cha Dr Khamisi Kigwangala bado analima?

Dogo usidanganyike fanya yako piga hustle usife njaa mengine waachie wenyewe.
 
Tofauti ni ndogo tuu..

waliofanikiwa wamejiwekea lengo na Wana commitment ktk utekelezaji hata itokee nn hatoki kwenye lengo lake na nyie wasindikizaji mna malengo pasipo commitment,kitu kidogo tu ushatoka nje ya mstari..

Kuwa commited I mean hata mama ako akifa uko mkoani afu huna nauli usiende kuliko kuchukua Hela za biashara kwendea msibani..mfano tu nimetoa!!

Jaman pesa ni roho zinakubadili unakua na roho mbaya ya kutojali wengine sabb wahofia zitakuishia..
 
sawa lakini hunaweza kuthibitisha hili?
nishashudia bro zangu wanaanza hustle chini kabisa mbaka wanajipata unatak ni amini ni majambazi au wachawi ka unavyosema
pesa halali zipo ni kupambana tu
Bro, kwenye karatasi za mafanikio, kuna baadhi ya mistari huwa haisomwi kwa sauti
Ndugu yako hawezi kukueleza kila kitu
 
Hawaachi mkuu.

Ila in public wanatuzuga sana.

Ingawa wakishafanikiwa zile pesa za wizi wanafanyia biashara halali.

Na wanasaidia sana jamii, na wapo karibu mno na maswala ya dini zetu hizi ila ni wanyama na wahalifu wa viwango vya juu.
Misikitini na makanisani wanajitoa sana.

Ile inaitwa kutakatisha fedha kwa jamii.

Huwezi kumsema vibaya utapigwa makofi na wanyonge😂😂
 
Issue kama hizi nimezikuta Uganda

Aisee wale mbwa hapana😂😂😂
Wanapiga hadi injili madhabahuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…