Jumlisha
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,239
- 2,765
sawa lakini hunaweza kuthibitisha hili?Ni kweli tupu kijana.
Hawa matajiri unaowaona mjini.
Ni dhulumati, matapeli , majambazi na wezi waliokubuhu.
Ila mbele ya jamii hujifanya wema.
Na wakishafanikiwa huwa karibu mno na jamii, watawekeza kwenye biashara halali na watakua karibu na viongozi wa dini ila ni washirikina na watu wabaya ajabu.
nishashudia bro zangu wanaanza hustle chini kabisa mbaka wanajipata unatak ni amini ni majambazi au wachawi ka unavyosema
pesa halali zipo ni kupambana tu