Kwanini hujatoboa mpaka leo?

Watu naona wanakatisha tamaa vijana kupambana na maisha,
Sio kweli kwamba Matajiri wote wamepitia njia chafu kufanikiwa.
Kuna baraka pia kutoka kwa Mungu,Connection za mjini,Juhudi binafsi na mali za Urithi.

Jambo kubwa kwa vijana wa leo wamemuacha Mungu wakweli ambaye ndie chanzo cha utajiri.
Utajiri wa halali ni mtamu sanaaaa hata akitokea Magufuli mwengine haufilisiki kamwe.
 
ukitaka kupata
na unaanzia zero,
kwanza una break all the rules
choma vitabu vyote vya dini ulivyonavyo! (ideally na materaially)
choma irizi ulizonanzo(ideally na materially)
choma mila na desturi ulizonazo (ideally na materially)
baki mtupu, alafu anza kufikiri na kuthubutu ukiwa makin na muda.
kuishi na kufa viweke kwenye uwiano sawa.
unaloona ni gumu /haliwezekani uamke nalo!
unayeona haingiliki ndo uanze naye!
utajiri ni tofauti kati ya unavyopata na unavyotumia.
utajiri ni mahusiano kati ya watu na wewe kwenye mzingo wako, usidharau connection na uaminifu!
Na huwezi kupata zaidi ya mazingira yako, ndo mana fala la USA linapata dola 100k kirahis wewe kupata hiace ya 30m mbinde!
utajiri ni ubunifu kwa kutumia taarifa sahihi na kiusahihi, kwa wakati na mahali sahihi
......utajiri hauna nadharia, ni real things happening, kwahiyo maombi na ushirkina havikupi utajiri kamwe bali morali katika unachofanya kiuhalisia!(hapa ndo washindao kanisan tuu na kwa waganga tuu huishia kufa maskin)
 
Mkuu shamba mkoa gani, na mazao gani?
 
Tatizo linaanzia hapa, kila mtu ana definition yake ya kuto
Tatizo linaanzia hapa, kila mtu ana definition yake ya kutoboa.
 
Mkuu unaonekana ushatoboa
 
We jamaa umeongea vitu konki sana wachache tutaokuelewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…