Kwanini hujatoboa mpaka leo?

Kwanini hujatoboa mpaka leo?

Watu naona wanakatisha tamaa vijana kupambana na maisha,
Sio kweli kwamba Matajiri wote wamepitia njia chafu kufanikiwa.
Kuna baraka pia kutoka kwa Mungu,Connection za mjini,Juhudi binafsi na mali za Urithi.

Jambo kubwa kwa vijana wa leo wamemuacha Mungu wakweli ambaye ndie chanzo cha utajiri.
Utajiri wa halali ni mtamu sanaaaa hata akitokea Magufuli mwengine haufilisiki kamwe.
 
ukitaka kupata
na unaanzia zero,
kwanza una break all the rules
choma vitabu vyote vya dini ulivyonavyo! (ideally na materaially)
choma irizi ulizonanzo(ideally na materially)
choma mila na desturi ulizonazo (ideally na materially)
baki mtupu, alafu anza kufikiri na kuthubutu ukiwa makin na muda.
kuishi na kufa viweke kwenye uwiano sawa.
unaloona ni gumu /haliwezekani uamke nalo!
unayeona haingiliki ndo uanze naye!
utajiri ni tofauti kati ya unavyopata na unavyotumia.
utajiri ni mahusiano kati ya watu na wewe kwenye mzingo wako, usidharau connection na uaminifu!
Na huwezi kupata zaidi ya mazingira yako, ndo mana fala la USA linapata dola 100k kirahis wewe kupata hiace ya 30m mbinde!
utajiri ni ubunifu kwa kutumia taarifa sahihi na kiusahihi, kwa wakati na mahali sahihi
......utajiri hauna nadharia, ni real things happening, kwahiyo maombi na ushirkina havikupi utajiri kamwe bali morali katika unachofanya kiuhalisia!(hapa ndo washindao kanisan tuu na kwa waganga tuu huishia kufa maskin)
 
nadhani mambo yanayofanya utoboz unakua mgumu ni pamoja na,

kutokua na dira malengo ya wazi, muda na vipaumbele muhimu vya kuzingatia na kuanza navyo..
vijana wanachagua sana kazi na vipaumbele mpaka jua linazama dah[emoji205]

kukata tamaa haraka sana. vijana wengi hawataki hasara wala pressure bana, hawataki kujishughulisha na kupambana kabsaa..
wanataka faida tu.
hapo utoboz utausikia kwa wenzio tu..[emoji205]

vijana wanaigiza sana maisha. ukimuona kijana wa leo utadhani ni bosi flani vile, kumbe ni kapuku tu. Atatoboaje apo hataki vumbi hataki jasho, anataka tu kunukia perfume vizur na kuskiza mziki mnene.
Hawez toboa aise [emoji205]

maisha ya kujilinganisha sana na wengine yamechelewesha wengi sana kutoboa, na hata walio toboa hawana shukran kabisa kwa Mungu na kwa walio wasaidia kutoboa, au walau basi na wao kua msaada wa kusaidia wengine nao watoboe.
Mungu ni wetu sote, yafaa sifa na shukrani ziende kwake ili baraka na Neema ziendelee kutumiminikia [emoji205]

karibuni shamba utoboz ni bwerere tu na wa uhakika. ni uvumilivu wako tu, ustahimilivu wako tu na subra [emoji205]
Mkuu shamba mkoa gani, na mazao gani?
 
Najiulizaga sana, ama wewe hujiulizagi?

Kwenye biashara ama mishe hio hio unayofanya miaka nenda rudi unaishia kupata hela yakula tu

Ila anakuja mtu moja wala hana uzoefu kiviile nahio biashara ama kazi

Ila kwamuda mfupi tu mambo yake yamenyooka

Matajiri wa jf mtuambie nimbinu mnazitumia kuchezesha hapo __kwamuda mfupi tu mtu kafungua kiduka kidogo dogo mara gafla tu limekua duka la jumla mara kashanza kujenga mara kashanunua gari mara mara tayari duka nikubwa kabisa anashusha mzigo kwa mafuso

Nawasilisha
Tatizo linaanzia hapa, kila mtu ana definition yake ya kuto
Najiulizaga sana, ama wewe hujiulizagi?

Kwenye biashara ama mishe hio hio unayofanya miaka nenda rudi unaishia kupata hela yakula tu

Ila anakuja mtu moja wala hana uzoefu kiviile nahio biashara ama kazi

Ila kwamuda mfupi tu mambo yake yamenyooka

Matajiri wa jf mtuambie nimbinu mnazitumia kuchezesha hapo __kwamuda mfupi tu mtu kafungua kiduka kidogo dogo mara gafla tu limekua duka la jumla mara kashanza kujenga mara kashanunua gari mara mara tayari duka nikubwa kabisa anashusha mzigo kwa mafuso

Nawasilisha
Tatizo linaanzia hapa, kila mtu ana definition yake ya kutoboa.
 
nadhani mambo yanayofanya utoboz unakua mgumu ni pamoja na,

kutokua na dira malengo ya wazi, muda na vipaumbele muhimu vya kuzingatia na kuanza navyo..
vijana wanachagua sana kazi na vipaumbele mpaka jua linazama dah🐒

kukata tamaa haraka sana. vijana wengi hawataki hasara wala pressure bana, hawataki kujishughulisha na kupambana kabsaa..
wanataka faida tu.
hapo utoboz utausikia kwa wenzio tu..🐒

vijana wanaigiza sana maisha. ukimuona kijana wa leo utadhani ni bosi flani vile, kumbe ni kapuku tu. Atatoboaje apo hataki vumbi hataki jasho, anataka tu kunukia perfume vizur na kuskiza mziki mnene.
Hawez toboa aise 🐒

maisha ya kujilinganisha sana na wengine yamechelewesha wengi sana kutoboa, na hata walio toboa hawana shukran kabisa kwa Mungu na kwa walio wasaidia kutoboa, au walau basi na wao kua msaada wa kusaidia wengine nao watoboe.
Mungu ni wetu sote, yafaa sifa na shukrani ziende kwake ili baraka na Neema ziendelee kutumiminikia 🐒

karibuni shamba utoboz ni bwerere tu na wa uhakika. ni uvumilivu wako tu, ustahimilivu wako tu na subra 🐒
Mkuu unaonekana ushatoboa
 
Haya mambo ya utajiri ni mambo ambayo yana ulimwengu wake mwingine ukienda uko utafanikiwa ukibaki kwenye ulimwengu wa kawaida utaishia kuombewa kwa mwamposa

Ila kufanikiwa kila mtu anaweza kufanikiwa sema levels za mafanikio ndo utata unaanza apo sawa!!!!
We jamaa umeongea vitu konki sana wachache tutaokuelewa!
 
Back
Top Bottom