Kutoboa ni Siri ya mtu husika ila akipenda akupe maarifa basi muheshimu maisha yote tatizo linalikuja ni baada ya mtu kufanikiwa anaanza kumpaka tope aliyemuonyesha njia hii ndio unafanya watu wasitoe code za tobo baada ya hapo wanaanza pewa majina ya ajabu mara jambazi, mchawi na mengine mengi.