bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Hio inaitwa kibali ni ishu za nyota.
Pana watu wanaanza na mkweche mkangafu wanaungana Leo wanamiliki mabus wakati we unaagiza bus Dubai miezi sita TU juu ya mawe.
Ishu ni mipangilio ya Mungu au shetani au game of chance au timing