Kwanini hukumuoa/ulimkimbia Mwanamke uliempa mimba?

Kwanini hukumuoa/ulimkimbia Mwanamke uliempa mimba?

Baada ya kufuma msg kwenye simu yake akichat na jamaa wengine wote akiwaitisha pesa za matunzo ya ujauzito.

Plot twist kubwa zaidi ilikuja gundulika baadae kabisa kuwa mtoto ni wa mume wa mama yake, kumaanisha baba yake wa kambo.
 
  • Thanks
Reactions: _ly
KWA SABABU MNA AKILI ZA UPUMBAVU TU NA UHUNI

HAKUNA SABABAU YA MSINGI YA MWANAUME KAMILI MWENYE AKILIO ISIO YA KISHOGA KISHOGA AKIMBIE KIUMBE CHAKE.

SHAME🤡🤡
Tatizo viumbe vyetu vinakuja na hao wanawake, ingekua watoto wanashushwa mawinguni kama mvua kila mtu angeitwa Baba na Watoto tungetunza
 
Baada ya kufuma msg kwenye simu yake akichat na jamaa wengine wote akiwaitisha pesa za matunzo ya ujauzito.

Plot twist kubwa zaidi ilikuja gundulika baadae kabisa kuwa mtoto ni wa mume wa mama yake, kumaanisha baba yake wa kambo.
Duh alikuwa kiboko uyo demu.
 
Wanawake ni manguruwe achana nae huyo mwenye tabia na nguruwe koko
 
Wewe ndio kasichana unajiita mshangazi.com mada zako upuuzi mtupu mwamba kaongea ukweli eti MSHANGAZI ,MSHANGAZI HAJITAJI
Kwa haya uliyoandika, wewe ni kavulana na siyo mwanaume. kwahiyo ulivyomwambia unataka kutafuta mwanamke mwingine, ulitaka akujibuje?

Mwanamke wako amezaa na anapitia kipindi cha uzazi chenye changamoto nyingi hasa kama ni uzazi wake wa kwanza. Wewe unachohitaji ni ajibu meseji na awe na time na wewe.

Yani unamuacha mama wa mtoto wako kwa sababu mwezi wa kwanza tangu ajifungue hana time na wewe.
Daah, hao wanawake wenu kazi wanayo.
 
Matamanio ya kingono ndio Chanzo mnaweza mkasex lakini hamkupendana no emotional connection na siku hiyo ndio mayai yako muda sahihi
 
Tulimaliza chuo akakataa rudi kwao akataka nimtunze mpk apate ajira nlipambana sn ale, avae nk na skuwa ajira ya kueleweka alisomea ualimu kpnd cha kikwete ajira zlipotoka amepata aliondoka nyumban kwangu kwa kejeli,kiburi na masimango.
Mwngne tulipshana usku mnene akatoka nje na kuelekea polisi kufungua kesi eti nimempga na kumchana mkono wkt hata skumgusa kbs nlifatwa na polisi nikalalako nliposomewa mashtaka yakaonekana ya uwongo kwan hakuwa hata na kdonda.
 
Wimbi kubwa la wasichana wengi wanazalia nyumbani, hasa kwa miaka ya hivi karibuni, changamoto inakua ni nini? Na unakuta jamaa aliyempa mimba yupo tu.

Tumekua mstari wa mbele kuwashutumu Wanaume kwa kuwapa mimba na kukimbia, lakini ukiingia deep unakuta wanawake wenyewe ndio chanzo cha kukimbiwa/kutokuolewa na jamaa aliyempa mimba..

Mimi ni miongoni mwa watu ambao sijamuoa yule niliempa mimba licha ya kwamba namuhudumia Kila kitu nampa nakuonyesha Nia ya kumuoa, licha ya kufanya yote yeye hana uo muda.

Yule mwanamke Hana time na Mimi, kwa ninavyojua mwanamke akipewa mimba anakua karibu sana na aliyempa mimba, lakini yule Binti tuliwasiliana naye week Moja baada ya kujifungua, akanitumia picha na video za mtoto, kwa muonekano tunafanana sijapigwa, baada ya hapo akawa hana time na Mimi hata umtafute hajibu sms, alikaa zaidi ya mwezi ndio akanitafuta kwa ajili ya kuniomba hela, japo nilikua na mpango wa kumuoa na kuishi nae lakini kile kiburi na ushindani ndio ulinifanya nisifikirie kumuoa na kuwaza vitu vingine..
Wakati ambao nilikua namuhitaji yule mtoto, kujua maendeleo yake n.k yeye alikua hana time na Mimi, nadhani inashangaza sana kwa mtu mwingine anaweza kufikiri labda yule mtoto ana baba Mwingine..

Japo mtoto yuko na miezi miwili mama yake baada ya kugombana nae kisa kumwambia anipe muda wake, nijue maendeleo ya mtoto n.k then nikamwambia kama vipi nitatafuta mwanamke mwingine akanijibu "whatever it's your decision"

Ni mwezi wa pili sasa unaenda hatujawai kuongea.

Katika mazingira kama hayo huyo Mama akibaki single mother sidhani kama itakua ni kosa ..

Hakuna mwanume ambaye hataki kukaa na mtoto wake, ila tabia za Mama zao ndio sababu ya wao kubaki single mother.
Nilikuta kadi yake ya ccm kwenye pochi,duh nusu nioe kada ,NIKAPIGA CHINI
 
Back
Top Bottom