third eye chakra
JF-Expert Member
- Dec 27, 2023
- 713
- 1,745
Kuna watu ambao wanajikuta wakilala huwaota watu ambao waliwahi kuingia nao katika mahusiano lakini wakaachana.
✍️Zipo sababu nyingi sana lakini kupitia Makala hii utaenda kujifunza sababu kubwa 3 zinazopelekea hali ya namna hiyo.
1. Memories Reviews (marejereo ya kumbukumbu)☑️
👉🏿Ukiashaachana na mtu ambae wewe nayeye mna kumbukumbu za nyakati mlizokuwa Pamoja,
🧠kuna wakati ambapo akili huwa inafanya marejereo ya zile nyakati zoote mlizokuwa mkishiriki Pamoja.
Na mara nyingi nyakati hizi huwa ni zile nzuri ambazo kiukweli mlizifurahia sana wakati penzi lenu likiwa hai.
2. Spiritual Connection (muunganiko wa kiroho)☑️
👉🏿Hii mara nyingi huwahusu watu ambao, waliwahi kufanya sex na ile sex ikapelekea muunganiko wa nafsi (soul tie) kati ya mwanamke na mwanaume.
Mara nyingi watu ambao hii ndio sababu kuu ni rahisi mmoja kumuotea mwingine matukio yahusuyo Maisha yake,
mfano kupata ajali, kupata hasara na matukio hayo huwa yanatokea ukweli.
3. Kumfikiria mara kwa mara☑️
🧠Kwa kawaida, mwanadamu ana ubongo unaitwa “concious mind” na “subconcious mind” mara nyingi subconcios mind unafanya kazi 24/7
🤔Kwahiyo, ukimfikiria mtu mara nyingi, wakati umelala subconcious mind huwa inapitia mambo yoote ambayo uliyafikiria.
🛸Na mara nyingi huwa inatilia mkazo katika yale ambayo umeyafikiria Zaidi ya engine.
👉Mfano; mtu ambae amekuwa akifikiria kupokea zawadi Fulani baada ya kushinda, ni rahisi kuota tukio la utoaji wa zawadi.
👉Kwahiyo, kuna wakati ukimfikiria sana mtu taswira yake au ya matukio yanayomuhusu inakuijia usiku.
👉Swali; kama unamuota mtu ambae umeshaachana nae, kati ya hizo sababu tatu unadhani ni sababu gani inayokupelekea wewe kumuota?