Kwanini huwa inatokea unamuota mtu ambae umekwisha achana naye?

Kwanini huwa inatokea unamuota mtu ambae umekwisha achana naye?

Unajua lengo lakuanzishwa huu mtandao nikuijenga jamii sahii,inayo jitambua nakuamka katika mfumo kandamizi..ambao wakwanza ni kubadili fikra Hasi kua chanya.
Nadhani lengo lapili nikuhakikisha kwaumoja wetu tunapambania haki zetu zamsingi hapa dunia..moja wapo ikiwa ni utawala BORA👈
Sasa unavo fanya masihara kiasi hiki hawa watoto wa elfu2 wanajifunza nini kupitia kwako?????????
👆👆👆👆
 
Back
Top Bottom