Unajua lengo lakuanzishwa huu mtandao nikuijenga jamii sahii,inayo jitambua nakuamka katika mfumo kandamizi..ambao wakwanza ni kubadili fikra Hasi kua chanya.
Nadhani lengo lapili nikuhakikisha kwaumoja wetu tunapambania haki zetu zamsingi hapa dunia..moja wapo ikiwa ni utawala BORA๐
Sasa unavo fanya masihara kiasi hiki hawa watoto wa elfu2 wanajifunza nini kupitia kwako?????????