Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Tena wao walitawaliwa kikatili zaidi kuliko sisi!!Victim hood mindset.
Hata wachina na wahindi waliwahi kutawaliwa na wazungu
Mpaka Leo Bado Kwa sehemu kubwa wanasiasa wetu wanaonesha kwa maneno na matendo yao kuwa wazungu ndiyo ama wanasababisha tusiendelee au wao ndiyo walisababisha tusiendelee.
Kwa nini tunaamini hivyo??
Kuhadaa wananchi huku wao ndio wafujaji wa maliMpaka Leo Bado Kwa sehemu kubwa wanasiasa wetu wanaonesha kwa maneno na matendo yao kuwa wazungu ndiyo ama wanasababisha tusiendelee au wao ndiyo walisababisha tusiendelee.
Kwa nini tunaamini hivyo??
Ma huko USA wanaenda kujifunza kwa kupelekwa na hao hao wanasiasa wanaotaka tuamini Mzungu ni adui yetuUsione kuna mapinduzi ya kijeshi ( fatilia utakuta aliyepindua alipata mafunzo USA, sijui Europe-Je bado una hisi ni coincedence)
Sasa hapa utalaum mzungu?Mikataba mibovu isiyo na masilahi-(Economic Hitman)
-Madikteta wa muda mrefu ambao wanasave maslah ya wazungu ( kwa kigezo cha kuachwa madarakani muda mrefu)
Hiyo "PART" ya viongozi wetu inachangia kwa asilimia ngapi kutokuendelea kwetu??INGAWA KUNA PART AMBAYO VIONGOZI WETU NAO WANAHUSIKA,,, lakin pia na jamaa wametukalia pabaya
Tumerogwa tuMpaka Leo Bado Kwa sehemu kubwa wanasiasa wetu wanaonesha kwa maneno na matendo yao kuwa wazungu ndiyo ama wanasababisha tusiendelee au wao ndiyo walisababisha tusiendelee.
Kwa nini tunaamini hivyo??
Ni kwa sababu tunawategemea kwa kila kituHiyo "PART" ya viongozi wetu inachangia kwa asilimia ngapi kutokuendelea kwetu??
😆😆Tumerogwa tu
Waafrika wengi hawana akili ni matahiraMpaka Leo Bado Kwa sehemu kubwa wanasiasa wetu wanaonesha kwa maneno na matendo yao kuwa wazungu ndiyo ama wanasababisha tusiendelee au wao ndiyo walisababisha tusiendelee.
Kwa nini tunaamini hivyo??
Mchina katawaliwa lini na mzungu?Victim hood mindset kutafuta sehemu ya kutupia lawama.
Waafrika adui yetu ni uvivu, ulalamikaji, ulafi na umimi hasa ukabila
Hata wachina na wahindi waliwahi kutawaliwa na wazungu, Leo wahindi ndio kundi linaloongoza kwa kuwa na jamii yenye familia zenye kipato cha juu zaidi Marekani, Wachina wameipigisha nchi yao hatua kwa spidi ya radi
Unajua hata wafuga mbwa wanasema breed zile za nje zipo vizuri sana , ila hawa local dogs wetu hamna kitu,, hali kadhalika kwa sisi binadamu🤣🤣🤣🤣Tena??
Tumelaaniwa na nani??