Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Dini ya kiislam inatoa mwongozo wa kila jambo linalohusu ibada na hata maisha binafsi ya muumini wa dini hiyo.
Nimeona ibada ya Eid ikifanyika maeneo ya wazi kama viwanja vya mpira na maeneo mengine kama haya. Mimi kama great thinker kazi yangu nikuibua mada kwa lengo la kubadilishana uzoefu, uelewa na kupeana elimu.
Nakuja kwenu nikihoji ibada hii takatifu kufanyika nje ya nyumba za ibada ni sahihi?
Ibada hii kuongozwa zaidi na viongozi wa kisiasa na kutoa hotuba hata katika maeneo ambayo siyo ya hotuba ni sawa?
Niliosoma dini zungumze na adhara hii mkitufunda tusiwe tukawa tunakosea lakini tu kwa sababu kuna kiongozi wa kisiasa tukashindwa kukemea.
Tupo tayari kuelimika