Kwanini Ibada ya Eid maeneo mengi Tanzania imefanyika nje ya nyumba za Ibada?Kiimani kuna Sehemu tumekiuka masharti ya dini au inaruhusiwa

Kwanini Ibada ya Eid maeneo mengi Tanzania imefanyika nje ya nyumba za Ibada?Kiimani kuna Sehemu tumekiuka masharti ya dini au inaruhusiwa

Siku ya Eid/Swala ya Eid inakuwa na idadi kubwa ya waumini wanaokwenda kuswali, hii husababisha eneo la ndani ya msikiti kutowatosha waumini waliokuja kufanya ibada hiyo, hivyo ni hekima ya kawaida kwamba mahali sahihi kufanyia ibada hiyo ni nje, kwenye kiwanja au eneo la wazi ambalo litaruhusu idadi kubwa ya watu, maana wote wakiingia ndani ya msikiti hawatatosha.
 
Great thinker umepuyanga hapo hujaibua mada ,

Basi tu hujauliza ujue , sikukuu ya idi asili yake na mafundisho ni kuswaliwa maeneo ya wazi (viwanjani) ambapo Watu wanakusanyika wengi.

Ni bahati mbaya niseme maeneo mengi ya mijini hamna viwanja ambavyo vinawapa hiyo access , vingi hutumika kimichezo hivyo kushindwa kutumia au sababu zinginezo zinazofanana na hizo
 
Sote tunapozaliwa huwa ni waislam. Wazazi ndio wanaokupeleka ktk ukiristo, uyahudi au upagani..lkn sote huzaliwa tukiwa waislam

Ukome kuongea uongo wako. Nani akubali kuzaliwa akiwa kobazi. Mii hata wazazi wangu wangesema niwe kobazi, ningewaasi.
 
Dini ya kiislam inatoa mwongozo wa kila jambo linalohusu ibada na hata maisha binafsi ya muumini wa dini hiyo.

Nimeona ibada ya Eid ikifanyika maeneo ya wazi kama viwanja vya mpira na maeneo mengine kama haya. Mimi kama great thinker kazi yangu nikuibua mada kwa lengo la kubadilishana uzoefu, uelewa na kupeana elimu.

Nakuja kwenu nikihoji ibada hii takatifu kufanyika nje ya nyumba za ibada ni sahihi?

Ibada hii kuongozwa zaidi na viongozi wa kisiasa na kutoa hotuba hata katika maeneo ambayo siyo ya hotuba ni sawa?

Niliosoma dini zungumze na adhara hii mkitufunda tusiwe tukawa tunakosea lakini tu kwa sababu kuna kiongozi wa kisiasa tukashindwa kukemea.

Tupo muislamu anaruhusiwa kufanya ibada kokote.Hata kanisani,muhu

Tupo tayari kuelimika
Uislamu unaruhusu,muislamu kufanya ibada kokote,hata ikiwa ni kanisani,muhimu aombe kwa wenye eneo,na wamruhusu,asiporuhusiwa na wenye eneo,ibada yake haikubaliki.
 
Ndo mnavyoamini kama kabatizwa endelea kuamini hivyo ila yesu hakubatizwa
Na umejuaje kama hakubatizwa??
Au yule muarabu wa Saudi aliyezaliwa miaka 600 baada ya yesu ndo kawaambia, eye witnesses kama Mathew, James na John wote waliishi na yesu na kutembea nae wamesema alibatizwa ila hamtaki kuamini, mnataka kumwamini huyo mwarabu wenu ambaye hamjui yesu, hakuongea na yesu, hakumwona yesu wala hata hakuishi kipindi kimoja na yesu, does that make sense??

Jaribu kuyafikiria hayo mafundisho yenu kabla hayajawa part ya imani yako.
 
Acha kamba wewe nani alikua muslim au ulinisomesha shahada nikiwa tumboni mwa mama yangu?
Ndio maana unaona unabatizwa,na mtu wa dini yoyote,na asiye dini qkifika
Muddy ndio amewafundisha huo ujinga
Wewe ndio mjinga,huelewi,ndio ukaona mtoto akishazaliwa anabatizwa,na akifa mtoto mdogo ambaye wazazi wake sio waislamu,anazikwa kama waislamu anavyozikwa,joulizevumewahi kuona majeneza ya kikiristo ya watoto wachanga?
 
Ndio maana unaona unabatizwa,na mtu wa dini yoyote,na asiye dini qkifika

Wewe ndio mjinga,huelewi,ndio ukaona mtoto akishazaliwa anabatizwa,na akifa mtoto mdogo ambaye wazazi wake sio waislamu,anazikwa kama waislamu anavyozikwa,joulizevumewahi kuona majeneza ya kikiristo ya watoto wachanga?
Wewe ndie wale mnaosemaga mtoto yeyote anaezaliwa Tanzania anakua CCM

Shabhash acha ujinga bru!
😁😁
 
Back
Top Bottom