Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Bado sijakueleweBinaadam yoyote akizaliwa anakuwa ni muislamu. Wazee sasa ndio wanaamua wambakishe ktk uislam au wamtie ktk ukiristo, uyahudi au upagani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado sijakueleweBinaadam yoyote akizaliwa anakuwa ni muislamu. Wazee sasa ndio wanaamua wambakishe ktk uislam au wamtie ktk ukiristo, uyahudi au upagani
Muddy ndio amewafundisha huo ujingaBinaadam yoyote akizaliwa anakuwa ni muislamu. Wazee sasa ndio wanaamua wambakishe ktk uislam au wamtie ktk ukiristo, uyahudi au upagani
Sote tunapozaliwa huwa ni waislam. Wazazi ndio wanaokupeleka ktk ukiristo, uyahudi au upagani..lkn sote huzaliwa tukiwa waislam
Kabisa na ndo maana wenzetu wanaamua kubatiza mtoto ila waislam hakuna kitu kama hicho
Hiki kitu nani huwaaminisha aisee??Wanaingizwa kwa kubatizwa muislum hana kubatizwa
hao watu wanafurahisha sanaa, 😂😂, hawajui kuhoji na ku think kazi ni kuamini tu. AFRICA🚮🚮🚮Hiki kitu nani huwaaminisha aisee??
Mnajimilikisha watu.
That's very stupidSote tunapozaliwa huwa ni waislam. Wazazi ndio wanaokupeleka ktk ukiristo, uyahudi au upagani..lkn sote huzaliwa tukiwa waislam
Mimi sikuzaliwa muislam na haitakaa itokee.Sote tunapozaliwa huwa ni waislam. Wazazi ndio wanaokupeleka ktk ukiristo, uyahudi au upagani..lkn sote huzaliwa tukiwa waislam
Acha kamba wewe nani alikua muslim au ulinisomesha shahada nikiwa tumboni mwa mama yangu?Sote tunapozaliwa huwa ni waislam. Wazazi ndio wanaokupeleka ktk ukiristo, uyahudi au upagani..lkn sote huzaliwa tukiwa waislam
Dini ya kiislam inatoa mwongozo wa kila jambo linalohusu ibada na hata maisha binafsi ya muumini wa dini hiyo.
Nimeona ibada ya Eid ikifanyika maeneo ya wazi kama viwanja vya mpira na maeneo mengine kama haya. Mimi kama great thinker kazi yangu nikuibua mada kwa lengo la kubadilishana uzoefu, uelewa na kupeana elimu.
Nakuja kwenu nikihoji ibada hii takatifu kufanyika nje ya nyumba za ibada ni sahihi?
Ibada hii kuongozwa zaidi na viongozi wa kisiasa na kutoa hotuba hata katika maeneo ambayo siyo ya hotuba ni sawa?
Niliosoma dini zungumze na adhara hii mkitufunda tusiwe tukawa tunakosea lakini tu kwa sababu kuna kiongozi wa kisiasa tukashindwa kukemea.
Tupo muislamu anaruhusiwa kufanya ibada kokote.Hata kanisani,muhu
Uislamu unaruhusu,muislamu kufanya ibada kokote,hata ikiwa ni kanisani,muhimu aombe kwa wenye eneo,na wamruhusu,asiporuhusiwa na wenye eneo,ibada yake haikubaliki.Dini ya kiislam inatoa mwongozo wa kila jambo linalohusu ibada na hata maisha binafsi ya muumini wa dini hiyo.
Nimeona ibada ya Eid ikifanyika maeneo ya wazi kama viwanja vya mpira na maeneo mengine kama haya. Mimi kama great thinker kazi yangu nikuibua mada kwa lengo la kubadilishana uzoefu, uelewa na kupeana elimu.
Nakuja kwenu nikihoji ibada hii takatifu kufanyika nje ya nyumba za ibada ni sahihi?
Ibada hii kuongozwa zaidi na viongozi wa kisiasa na kutoa hotuba hata katika maeneo ambayo siyo ya hotuba ni sawa?
Niliosoma dini zungumze na adhara hii mkitufunda tusiwe tukawa tunakosea lakini tu kwa sababu kuna kiongozi wa kisiasa tukashindwa kukemea.
Tupo tayari kuelimika
Na umejuaje kama hakubatizwa??Ndo mnavyoamini kama kabatizwa endelea kuamini hivyo ila yesu hakubatizwa
Ndio maana unaona unabatizwa,na mtu wa dini yoyote,na asiye dini qkifikaAcha kamba wewe nani alikua muslim au ulinisomesha shahada nikiwa tumboni mwa mama yangu?
Wewe ndio mjinga,huelewi,ndio ukaona mtoto akishazaliwa anabatizwa,na akifa mtoto mdogo ambaye wazazi wake sio waislamu,anazikwa kama waislamu anavyozikwa,joulizevumewahi kuona majeneza ya kikiristo ya watoto wachanga?Muddy ndio amewafundisha huo ujinga
Wewe ndie wale mnaosemaga mtoto yeyote anaezaliwa Tanzania anakua CCMNdio maana unaona unabatizwa,na mtu wa dini yoyote,na asiye dini qkifika
Wewe ndio mjinga,huelewi,ndio ukaona mtoto akishazaliwa anabatizwa,na akifa mtoto mdogo ambaye wazazi wake sio waislamu,anazikwa kama waislamu anavyozikwa,joulizevumewahi kuona majeneza ya kikiristo ya watoto wachanga?
Shahada anatoleshwa yule kafiri kuingia ktk uislam. Ukizaliwa tu automatically wewe ni muislamuAcha kamba wewe nani alikua muslim au ulinisomesha shahada nikiwa tumboni mwa mama yangu?
Ulipozaliwa ulijujua? Wewe kweli chiziMimi sikuzaliwa muislam na haitakaa itokee.
Mimi Ni Mali ya Yesu Kristo .
Unataka kusema hata Juma Lokole kazaliwa muislamSote tunapozaliwa huwa ni waislam. Wazazi ndio wanaokupeleka ktk ukiristo, uyahudi au upagani..lkn sote huzaliwa tukiwa waislam
Hata papa Francis alizaliwa akiwa muislam. Wazee wake ndio waliompeleka ktk ukiristoUnataka kusema hata Juma Lokole kazaliwa muislam
Mzee mgaya pilipili usiyoila yakuwashia nini?Sikukuu ni kwa ajili ya wale Walioacha Dhambi kwa Sababu ya Ramadan