The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Kwanini tuna wachungaji, mashehe, wanasiasa na matapeli wengine kama hao barani Afrika kuliko mabara yaliyoendelea kiuchumi?
Je, wingi wa makundi haya unatufundisha au kututahadharisha na nini? Kwanini Afrika ina makanisa mengi sambamba na watu maskini wengi?
Kwanini nchi zilizoendelea zina vyama vichache vya siasa wakati zikituhihimiza tuwe navyo utitiri? Ukiona hivyo, jua kuna tatizo kubwa. Akili ndogo inapotawala akili kubwa ni msiba na maangamizi kwa jamii. Nawaza kimya kimya.