konrad
Member
- Jun 10, 2015
- 84
- 12
Hii hali inatokea kulingana na siku mtu anapojamiana na mkewe ukizingatia mbegu za kiume zinakimbia faster alafu zinaishi muda mfupi sana about 48 hrs ukicompare na za kile ambayo ni slow but inakaa inaishi siku nyingi sana about 3 to 4days Sasa kama umejamiana na na mkeo siku ambayo ile ovam mbegu ya kile imetolewa hapo utapata mtoto wa kiume maana mbegu ya kiume, itakimbia haraka na kufanya faterlization kwenye ovum lakin kama utafanya tendo la ndoa siku tatu hivyo kabla ya ovam kube released from ovary inamaana Kama ile ovam itakuja itakuta mbegu za kiume Tayar zitakuwa zmekufa na kubaki ka kike