Kwanini idadi ya watoto wa kike kuzaliwa ni kubwa sana?

Kwanini idadi ya watoto wa kike kuzaliwa ni kubwa sana?

Hii hali inatokea kulingana na siku mtu anapojamiana na mkewe ukizingatia mbegu za kiume zinakimbia faster alafu zinaishi muda mfupi sana about 48 hrs ukicompare na za kile ambayo ni slow but inakaa inaishi siku nyingi sana about 3 to 4days Sasa kama umejamiana na na mkeo siku ambayo ile ovam mbegu ya kile imetolewa hapo utapata mtoto wa kiume maana mbegu ya kiume, itakimbia haraka na kufanya faterlization kwenye ovum lakin kama utafanya tendo la ndoa siku tatu hivyo kabla ya ovam kube released from ovary inamaana Kama ile ovam itakuja itakuta mbegu za kiume Tayar zitakuwa zmekufa na kubaki ka kike
 
mama yangu (RIP) alisema dawa za uzazi wa mpango zina madhara Mkubwa saana tena saana ikiwamo kuwepo kwa aumu inayoua hizo mbegu, Mimi sijatumia bado na tuna baby boy.

nadhani ni ratiba/ cheza na mzunguko then siku ya 14 lazima atakuwa baby boy.
 
naturally lazima watoto wa kike wawe wengi ili dunia isonge otherwise upungufu wa watu duniani utatokea
 
Hii pia inatokana na watu kujimiana mara kwa mara hata kipindi kile cha kushika mimba.Hii ni kutokana unapokutana mapema inasababisha X-gamet kuwa hai wakati Y-gamet inaweza kuwa imekufa.
 
for man: when u ejaculate, make sure u insert deeply the penis into vagina. itasaidie kuipa nguvu ile mbegu inayobeba jinsia ya kiume kuweza kulifikia yai mapema kwa maana mbegu ya kiume inakuwa na spidi kali kuelekea yai lilipo (mbegu ina spidi kali lakini inawah kufa wakati ile ya kike inakwenda slowly lakin inadumu kwa mda mrefu).
for woman: danger period wakati unakaribia kuingia ktk siku zako (it means yai likiwa lmesogea) unaweza kukutana na mwenza wako na ukabahatika kupata mtoto wa kiume.
caution: watu weng hushndwa kujicontrol ktk first ejaculation na hii ndio inayosababisha kuleta watoto wa kiume. kwa maana unatumia dakika chache kufika pia weng wanakuwa hawako makin sana (maandalizi duni)
mwanaume anatakiwa kuwa na nguvu, kula vizur, fanya mazoezi n.k (mtoto wa kiume hapatikani kwa lelemama otherwise utaishia kupata watoto wa kike mpaka kifo chako).
nilikuwa najaribu tu, simu yangu ndogo nashndwa kuandika comfortably
Si kweli, it doesn't hold either you insert deeply or not.
What it matters ni period ya ovulation na life span ya x anda y sperm. Male sperm ina survive 48hours na ina speed sana. Female sperm ina survive 72 hours na ipo slow. Yai la manmke ni always ni x life span yake ni 72 hours. Ovulation kwa manmke huwa ni probability inaweza tokea kati ya siku ya siku11 hadi 14 kwa mwemanmke mwenye mzunguko wa siku 28. So ili upate mtoto wa kiume unahitaji kutime vizuri ovulation. In most of the study ovulation inatokea kati siku ya 13 na 14. So ili upate mtoto wa kiume unahitaji utime survival ya sperm. So muda mzuri wa kufanya mapenzi hapo ili upate mtoto wa kiume ni siku ya 14, 15 na 16. Ukifanya chini ya hapo zile za kiume zitakufa mapema zitabaki x pekee yake. So tapata mtoto wa kike. Maana yake nini kama ovulation inatokea siku ya 12 mfano inauwezo wa kuishi hadi siku ya 14. Ukifanya ngono siku Hiyo sperm ya kiume iko fasta itafertilize mapema kabla ya ile ya kike ambayo iko slow.

So hiyo ndo shule yake. Ni kweli watoto wa kike wanazaliwa wengi sana kwa sasa, maana yake nini timing kwetu hatujui. So we need to learn on this
 
Kama kuna swali please quote my reply au ni inbox
 
Back
Top Bottom