- Thread starter
- #21
Uko sahihiKatiba na sheria zetu zinatumia neno Tanzania Bara kuitaja hii sehemu ya muungano. Hazitumii neno Tanganyika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihiKatiba na sheria zetu zinatumia neno Tanzania Bara kuitaja hii sehemu ya muungano. Hazitumii neno Tanganyika.
Kumbuka hiki chama mpaka sasa 2024 kina umri wa miaka 70, Muungano haujafika umri huo. Kwahiyo kilianzishwa kipindi cha TANGANYIKA!Wakuu kwa Sasa masikio yote yapo Dodoma kwenye mkutano wa mawakili na katika mkutano huo umefanyika uchaguzi ambao matokeo yake yanasubiriwa kwa hamu sana.
Maswali yangu kwa wajuzi:
1.Kwanini hii inaitwa Tanganyika law society na sio Tanzania law society??
2. Je Zanzibar napo huwa kuna Zanzibar law society??
3. Kuna wakati ndugu Fatma Karume kutoka Tanzania visiwani alokuwa mwenyekiti wa Tanganyika law society, je bila shaka hii ni kumaanisha hata mawakili kutoka Zanzibar ni wanachama na ndo MAANA bi Fatma alipata nafasi ya uongozi?
4. If that is the case, kwanini sasa haibadilishwi jina ikaitwa Tanzania law society Ili kumaanisha ni jumuiya ya mawakili pande zote mbili bara na visiwani?
Ngaiwoye
Hata Tanganyika nchi ilimpata uhuru kabla ya muungano, baada ya muungano ilibadilika na kuwa Tanzania.Kumbuka hiki chama mpaka sasa 2024 kina umri wa miaka 70, Muungano haujafika umri huo. Kwahiyo kilianzishwa kipindi cha TANGANYIKA!