Kwanini Ilala haina pub ambazo zinafanya vizuri kama Tabata, Sinza, Kinondoni na Temeke kidogo?

Huku ndio kuna migahawa mingi ya chakula.
 
Pale puma petrol station ilala sokoni pembeni kuna TPB bank kwa juu kighorofani kuna kibar nacho si haba.
Fantastic bar ipo Bungoni Tena Kuna mchemsho Bab kubwa.Halafu Club ya wazee pale maskani ya madalali wa magari Kuna baa na msosi mtamu sana.Hiyo ujuwe naongelea ilala kama ilala ukitaka nyingine ntakutajia.
 
Labda unataka tuseme kuanzia sheli, Bungoni, Malapa, kwa mnyamani, Amana, Sokoni, Karume au Ilala ipi?
ILALA YA BUNGONI, AMANA, BUGURUNI, KUTOKANA NA WIMBI KUBWA LA WAARABU NA WAPEMBA KUINGIA, BIASHARA ZA POMBE NA STAREHE ZINAJIFIA ZENYEWE.(haijulikani kwa nini)
 
Tumia fursa hiyo ufungue upige hela
 
Lady, nadhani anaisema Ilala (sehemu) na siyo Ilala (wilaya). Kuna hiki kipande cha kuanzia hapo Karume mpaka Buguruni. Hako kakisehemu kenye watu marangi-rangi kwa wingi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We ndio utakuwa mgeni wa jiji! Ina maana hujui kwamba kuna kitongoji kinaitwa ilala?
 
Waarabu wakishajaa sehemu biashara ya pombe haiwezi kushamiri, ila kama unataka mashangingi ya ukweli ya kiarabu na kisomali basi Ilala ndio mahali pale.

Zile hotel nyingi za Ilala ndio kazi yake haya mashangingi yanauzia nyapu mahotelini.
 
Wanauza uchi Ilala huwezi kuwadhania ila ukweli ndio wanauza.

System ya Ilala uchi unauziwa hotelini, mashangingi ya Ilala yana mfumo wao ambao wameutengeneza, mambo yote hotelini siyo kwenye viguest house uchwara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…