Kwanini Ilala haina pub ambazo zinafanya vizuri kama Tabata, Sinza, Kinondoni na Temeke kidogo?

Kwanini Ilala haina pub ambazo zinafanya vizuri kama Tabata, Sinza, Kinondoni na Temeke kidogo?

Kwa ambao hawajanielewa Nina maana hiyo
Screenshot_20230118-085803.jpg
 
Hamna miujiza Ilala majority ni waislamu wa itikadi kali za kidini. Hamna atakaeukupa space ufanye mambo ya kikafiri kama kufungua bar ama danguro la malaya.

Kama hio haitoshi hao wenyeji ndio primary customers sasa kama hawaji kutumia huduma hio unafikiri utajiendeshaje?
Huku ndio kuna migahawa mingi ya chakula.
 
Pale puma petrol station ilala sokoni pembeni kuna TPB bank kwa juu kighorofani kuna kibar nacho si haba.
Fantastic bar ipo Bungoni Tena Kuna mchemsho Bab kubwa.Halafu Club ya wazee pale maskani ya madalali wa magari Kuna baa na msosi mtamu sana.Hiyo ujuwe naongelea ilala kama ilala ukitaka nyingine ntakutajia.
 
Labda unataka tuseme kuanzia sheli, Bungoni, Malapa, kwa mnyamani, Amana, Sokoni, Karume au Ilala ipi?
ILALA YA BUNGONI, AMANA, BUGURUNI, KUTOKANA NA WIMBI KUBWA LA WAARABU NA WAPEMBA KUINGIA, BIASHARA ZA POMBE NA STAREHE ZINAJIFIA ZENYEWE.(haijulikani kwa nini)
 
Wakubwa wenzangu poleni kwa kazi.

Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda Sasa.

Kwanini Ilala haina pub ambazo zinafanya vizuri kama Tabata, Sinza, Kinondoni na Temeke kidogo?

Naliamini sana jukwaa hili kuna watu wajuzi wa Mambo mengi na washauri wazuri.. nikihitaji kuweka nizingatie nini na nini?
Tumia fursa hiyo ufungue upige hela
 
Lady, nadhani anaisema Ilala (sehemu) na siyo Ilala (wilaya). Kuna hiki kipande cha kuanzia hapo Karume mpaka Buguruni. Hako kakisehemu kenye watu marangi-rangi kwa wingi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tabata ni Ilala, Sinza ni Kinondoni, Kibamba ni Ubungo, lazima wewe sio mwenyeji wa jiji na hua iko hizi sinza na tabata kitambo ndio zinakimbiza kwa viwanja japo hadi kitunda au kinyantila utakuta viwanja ambavyo mikoani havipo vinawaka tu kama kawaida, itoshe kusema hadhi tofauti za maeneo ndio sababu lakini hadi mbande viwanja vipo
We ndio utakuwa mgeni wa jiji! Ina maana hujui kwamba kuna kitongoji kinaitwa ilala?
 
Wakubwa wenzangu poleni kwa kazi.

Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda Sasa.

Kwanini Ilala haina pub ambazo zinafanya vizuri kama Tabata, Sinza, Kinondoni na Temeke kidogo?

Naliamini sana jukwaa hili kuna watu wajuzi wa Mambo mengi na washauri wazuri.. nikihitaji kuweka nizingatie nini na nini?
Waarabu wakishajaa sehemu biashara ya pombe haiwezi kushamiri, ila kama unataka mashangingi ya ukweli ya kiarabu na kisomali basi Ilala ndio mahali pale.

Zile hotel nyingi za Ilala ndio kazi yake haya mashangingi yanauzia nyapu mahotelini.
 
Hamna miujiza Ilala majority ni waislamu wa itikadi kali za kidini. Hamna atakaeukupa space ufanye mambo ya kikafiri kama kufungua bar ama danguro la malaya.

Kama hio haitoshi hao wenyeji ndio primary customers sasa kama hawaji kutumia huduma hio unafikiri utajiendeshaje?
Wanauza uchi Ilala huwezi kuwadhania ila ukweli ndio wanauza.

System ya Ilala uchi unauziwa hotelini, mashangingi ya Ilala yana mfumo wao ambao wameutengeneza, mambo yote hotelini siyo kwenye viguest house uchwara.
 
Back
Top Bottom