mbenda said
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 1,084
- 2,074
Hapo Selikali itabidi ihusishwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anazijua zaidi ya wewe na madalali wenzio?Fantastic bar ipo Bungoni Tena Kuna mchemsho Bab kubwa.Halafu Club ya wazee pale maskani ya madalali wa magari Kuna baa na msosi mtamu sana.Hiyo ujuwe naongelea ilala kama ilala ukitaka nyingine ntakutajia.
Huku ndio kuna migahawa mingi ya chakula.Hamna miujiza Ilala majority ni waislamu wa itikadi kali za kidini. Hamna atakaeukupa space ufanye mambo ya kikafiri kama kufungua bar ama danguro la malaya.
Kama hio haitoshi hao wenyeji ndio primary customers sasa kama hawaji kutumia huduma hio unafikiri utajiendeshaje?
Kwa Migahawa ndio kinara nadhaniHuku ndio kuna migahawa mingi ya chakula.
Hajui Hilo mpk Chanika ile ni IlalaFshamu kuwa Tabata ipo Wlaya ya Ilala, Gongo la Mboto ipo Ilala, Posta na Kariakoo ipo Ilala
Fantastic bar ipo Bungoni Tena Kuna mchemsho Bab kubwa.Halafu Club ya wazee pale maskani ya madalali wa magari Kuna baa na msosi mtamu sana.Hiyo ujuwe naongelea ilala kama ilala ukitaka nyingine ntakutajia.
Fantastic bar ipo Bungoni Tena Kuna mchemsho Bab kubwa.Halafu Club ya wazee pale maskani ya madalali wa magari Kuna baa na msosi mtamu sana.Hiyo ujuwe naongelea ilala kama ilala ukitaka nyingine ntakutajia.
Andrew ,dar Haina wenteji wenyemajina hayo ,ugeni unamsumbua badala ajikite kuwauliza wenyeji anaparamiaFahamu kuwa Tabata ipo Wlaya ya Ilala, Gongo la Mboto ipo Ilala, Posta na Kariakoo ipo Ilala
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Andrew ,dar Haina wenteji wenyemajina hayo ,ugeni unamsumbua badala ajikite kuwauliza wenyeji anaparamia
ILALA YA BUNGONI, AMANA, BUGURUNI, KUTOKANA NA WIMBI KUBWA LA WAARABU NA WAPEMBA KUINGIA, BIASHARA ZA POMBE NA STAREHE ZINAJIFIA ZENYEWE.(haijulikani kwa nini)Labda unataka tuseme kuanzia sheli, Bungoni, Malapa, kwa mnyamani, Amana, Sokoni, Karume au Ilala ipi?
Tumia fursa hiyo ufungue upige helaWakubwa wenzangu poleni kwa kazi.
Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda Sasa.
Kwanini Ilala haina pub ambazo zinafanya vizuri kama Tabata, Sinza, Kinondoni na Temeke kidogo?
Naliamini sana jukwaa hili kuna watu wajuzi wa Mambo mengi na washauri wazuri.. nikihitaji kuweka nizingatie nini na nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lady, nadhani anaisema Ilala (sehemu) na siyo Ilala (wilaya). Kuna hiki kipande cha kuanzia hapo Karume mpaka Buguruni. Hako kakisehemu kenye watu marangi-rangi kwa wingi.
SawasawaFahamu kuwa Tabata ipo Wlaya ya Ilala, Gongo la Mboto ipo Ilala, Posta na Kariakoo ipo Ilala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nani anazijua zaidi ya wewe na madalali wenzio?
We ndio utakuwa mgeni wa jiji! Ina maana hujui kwamba kuna kitongoji kinaitwa ilala?Tabata ni Ilala, Sinza ni Kinondoni, Kibamba ni Ubungo, lazima wewe sio mwenyeji wa jiji na hua iko hizi sinza na tabata kitambo ndio zinakimbiza kwa viwanja japo hadi kitunda au kinyantila utakuta viwanja ambavyo mikoani havipo vinawaka tu kama kawaida, itoshe kusema hadhi tofauti za maeneo ndio sababu lakini hadi mbande viwanja vipo
Hayo maeneo yametekwa na hao watu ulowataja, ila wanayaendeleza kwa kujenga maghorofaILALA YA BUNGONI, AMANA, BUGURUNI, KUTOKANA NA WIMBI KUBWA LA WAARABU NA WAPEMBA KUINGIA, BIASHARA ZA POMBE NA STAREHE ZINAJIFIA ZENYEWE.(haijulikani kwa nini)
Waarabu wakishajaa sehemu biashara ya pombe haiwezi kushamiri, ila kama unataka mashangingi ya ukweli ya kiarabu na kisomali basi Ilala ndio mahali pale.Wakubwa wenzangu poleni kwa kazi.
Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda Sasa.
Kwanini Ilala haina pub ambazo zinafanya vizuri kama Tabata, Sinza, Kinondoni na Temeke kidogo?
Naliamini sana jukwaa hili kuna watu wajuzi wa Mambo mengi na washauri wazuri.. nikihitaji kuweka nizingatie nini na nini?
Wanauza uchi Ilala huwezi kuwadhania ila ukweli ndio wanauza.Hamna miujiza Ilala majority ni waislamu wa itikadi kali za kidini. Hamna atakaeukupa space ufanye mambo ya kikafiri kama kufungua bar ama danguro la malaya.
Kama hio haitoshi hao wenyeji ndio primary customers sasa kama hawaji kutumia huduma hio unafikiri utajiendeshaje?
Mkuu Nipe namba za hiyo mishangingi ya kiarabuWanauza uchi Ilala huwezi kuwadhania ila ukweli ndio wanauza.
System ya Ilala uchi unauziwa hotelini, mashangingi ya Ilala yana mfumo wao ambao wameutengeneza, mambo yote hotelini siyo kwenye viguest house uchwara.