kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Hebu fikiria, Mungu mwemye uwezo wa ajabu, aandae moto wa kuchoma watu wake!!! Hapo utajua tu ni tishio ili upokee imani yao na kuacha imami yako. Wasiokuwa na maono ndio walioacha jadi yao na kufuata ya kizungu. Ujue kwamba DNA yako inaendana na mababu zako na sio Wayahudi. Tuwaachie wayahudi dini yao, tufuate imani yetu ya jadi.