Abuu Abdurahman
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,448
- 1,790
@Bia yetu Magonjwa Mtambukabia yetu akiona huu uzi, naeza kuja na majibu ambayo hayapatikani sehem yoyote ile duniani bali kwenye ubongo wake tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmm mbona nasikia nia yetu ni nannihiiBia yetu akiona huu uzi, naeza kuja na majibu ambayo hayapatikani sehem yoyote ile duniani bali kwenye ubongo wake tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini hiyo?Mmmmm mbona nasikia nia yetu ni nannihii
Jiulize kwa nini Ghadaff walimua ndio jibuNashangaa,nchi zote zinazopakana na sisi zimepewa msaada wa haraka na benki ya dunia,IMF,na kuweka kidonda chumvi. Trump kaongea na marais wa nchi tunazopakana nazo na kuahidi misaada kedekede.
Je ule utani wa kuwaita mabeberu wao walijua tunawachukia?sisi watanzania ni watu wa utani kimakabila na ndio asili yetu,japo sijui kwamba kabila gani linautani nao au kama nchi ndio tuna utani nao.
Naomba waziri wa utamaduni awaambie,tunapotaja majina kama mabeberu,tumeibiwa sana,ni chachandu ya siasa za ndani tu jamani,
Watupe na sisi kamsaada
Naona 'utani' kwenu ni kila kitu.Nashangaa,nchi zote zinazopakana na sisi zimepewa msaada wa haraka na benki ya dunia,IMF,na kuweka kidonda chumvi. Trump kaongea na marais wa nchi tunazopakana nazo na kuahidi misaada kedekede.
Je ule utani wa kuwaita mabeberu wao walijua tunawachukia?sisi watanzania ni watu wa utani kimakabila na ndio asili yetu,japo sijui kwamba kabila gani linautani nao au kama nchi ndio tuna utani nao.
Naomba waziri wa utamaduni awaambie,tunapotaja majina kama mabeberu,tumeibiwa sana,ni chachandu ya siasa za ndani tu jamani,
Watupe na sisi kamsaada
LOoooh, unaelewa unachokiandika kweli?M
Msaada huo ni bure au tutalipa? Kama ni bure sawa lakini kama si bure hauna maana,
Kama wana huruma na sisi watukopeshe pesa za mitaji kwa wafanya biashara wetu waongeze mitaji nchi ipate uchumi, lakini suo misaada ya magonjwa kisha kuna riba.
Tukiwa na pesa tutajitibu wenyewe.
@Bia yetu Magonjwa Mtambuka
Kwa heshma na taadhima sogeeni hapa.. Nyinyi ndio majembe yetu bna
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonaje akiwahamisha nyie!
Taarifa za kweli za idadi ya wagonjwa na vifo ndiyo zitasaidia tupewe msaada.
Ukipika report hupewi msaada.
kwa hiyo pia unaweza pika idadi kubwa zaidi upate pesa zaidi kama hivyo hili ni bonge la dili basiTaarifa za kweli za idadi ya wagonjwa na vifo ndiyo zitasaidia tupewe msaada.
Ukipika report hupewi msaada.