Kwanini IMF na Benki ya Dunia wameitenga Tanzania katika mgao wa fedha za Corona? Au ule utani kwamba sisi matajiri, wao wametuibia, uliwachukiza?

Kwanza, huo sio mgao ni mkopo. Pili, inawezekana Tanzania haikuomba. Tatu, inawezekana tuliomba lakini kwa vigezo tumeonekana sisi tuna afadhali kuliko hao wengine. Nne, kupigiwa simu na Trump? What for kama kwake Corona imemshinda na sasa hivi Uongozi wa Serikali yake unafikiria kumzuia kabisa asiongee lolote kuhusu Corona!?
 

Kuna watu wajinga wanafikili hizo nchi zimepata bingo, hakuna kitu cha bure katika hizo pesa, zingekuwa za bure hata hapa kwetu tungeongeza namba za wagonjwa na vifo ili tupate kwani tungekuwa na hasara gani kuongeza namba tu, hata wanaokufa kwa ajari tungeongeza ili namba iwe kubwa, watu wafikiri kabla ya ushabiki.
 
Upeo wao umefikia hapo. Na hao ndio wale walipokuwa vyuo vikuu walikuwa wanafoji taarifa Bodi ya Mikopo wapate asilimia mia. Sasa kwenye kulipa wanalialia!
 
Ukiona Mabeberu yanakunyima msaada ujue umeyabinya makende

Tanzania, Venezuela i na iran tunanyanyasika sana mbele ya Mabeberu ila tutapindua meza kibabe
Ndio majibu tuliyokuwa tunayategemea toka kwako fala wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…