Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu, unajua marekani anawapatia hao watu pesa na misaada ya kitaalamu kiasi gani kila mwaka?... kataifa kadogo ila kenye watu wenye maono, wanaojitambua kwa nini wako duniani, wanaotumia akili, wanaochapa kazi, wanaojiwekea malengo na kuyafikia bila visingizio, na wenye siasa zenye viongozi responsible and accountable. Hiyo ndio tofauti.
... kwanini Marekani asiwapatie ninyi Mkuu? Unajua contribution ya hao watu kwa taifa la Marekani?mkuu, unajua marekani anawapatia hao watu pesa na misaada ya kitaalamu kiasi gani kila mwaka?
waoh, waisrael wanaisaidia Marekani? waoh waoh.... kwanini Marekani asiwapatie ninyi Mkuu? Unajua contribution ya hao watu kwa taifa la Marekani?
Unashangaa au unashangilia?waoh, waisrael wanaisaidia Marekani? waoh waoh.
Kwasababu sisi hatutumiki kuwavuruga waarabu kumpa nafasi marekani kuiba mafuta... kwanini Marekani asiwapatie ninyi Mkuu? Unajua contribution ya hao watu kwa taifa la Marekani?
Asilimia 60 ya misaada ya Marekani nje,huwapa Israeli. Asilimia 24 huwapa Misri ili wasipambane na Israel (mkataba wa Camp Davis). Hizo zilizobaki ndio hugawia nchi nyinginezoMarekani anatoa msaada ulimwenguni kote. Licha ya hivyo msaada hauwezi kukufikisha popote
Hao jamaa wamewejeza kwenye akili na matokeo yake wamekua na uchumi mzuri, technology nzur,jeshi zuri na Kila kitu kizuri wanacho bongo wamewejeza kwenye siasa za udanganyifu matokeo yake Kuna Ufisadi,umasikini,njaa na Kila aina ya uovu.Inakuwaje kataifa kadogo kama Israel kanakuwa na uchumi mkubwa. Ina maana sisi hatufanyi kazi
ISRAEL ECONOMY
View attachment 2211818
Sio kweli kwamba wanapewa msaada na USA ila tu jua matajili wengi USA Wana asili ya Israel na ndio walipa Kodi wakubwa huko hicho unachoona misaada ni mchango wao kwa Nchi yaomkuu, unajua marekani anawapatia hao watu pesa na misaada ya kitaalamu kiasi gani kila mwaka?
Ulisema kuwa US anaisaidia Israel, sasa mdau akakuuliza ni kwanini US aisaidie Israel zaidi kuliko Tanzania au Japan?waoh, waisrael wanaisaidia Marekani? waoh waoh.
HahahaKwasababu sisi hatutumiki kuwavuruga waarabu kumpa nafasi marekani kuiba mafuta
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Chief. Issue ni kwamba Israel imeendelea zaidi ya Tanzania wakati wao ni ka Taifa kadogo, kwa kuongezea, ni kataifa kenye changamoto nyingi hasa ya kuwa kwenye continuous war toka kamezaliwa.Ulisema kuwa US anaisaidia Israel, sasa mdau akakuuliza ni kwanini US aisaidie Israel zaidi kuliko Tanzania au Japan?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani sisi tunapewa misaada ya kiasi gani kwa mwaka we unafikiri Israel anategemea misaada kwa maendeleo yake kama sisi!kwa hiyo marekani anampa tu hela hebu tupe sababu ya kumpa hela!!..usitufanye watotomkuu, unajua marekani anawapatia hao watu pesa na misaada ya kitaalamu kiasi gani kila mwaka?
Sasa ata wapatia tu bila sababu!?mkuu, unajua marekani anawapatia hao watu pesa na misaada ya kitaalamu kiasi gani kila mwaka?
kwann achezee ela kuwalinda waisrael?Asilimia 60 ya misaada ya Marekani nje,huwapa Israeli. Asilimia 24 huwapa Misri ili wasipambane na Israel (mkataba wa Camp Davis). Hizo zilizobaki ndio hugawia nchi nyinginezo
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Jamaa ninawakubali kuhusu uwezo wao wa akili. Kufinance viwanda na ubunifu. Pia nchi yao ni jangwa kabisa. Hawana mto, kisima, bwawa wala ziwa,inawabidi wachukue maji ya chumvi toka baharini kisha watoe chumvi kwenye desalination plants halafu watu wakitumia wanakusanya maji taka wanayarecycle kwa ajili ya kilimo. Ila wana maji ya kutosha kutumia mpaka kwenye umwagiliaji. Nchi yao ni jangwa kabisa hakuna mvua wala umande na wanalima na wanavuna sana. Na bado wanaendelea na utafiti wa kuboresha technology yao. Kiufupi wanasema technology waliyogundua ni ndogo mno na wanataka kuboresha zaidiChief. Issue ni kwamba Israel imeendelea zaidi ya Tanzania wakati wao ni ka Taifa kadogo, kwa kuongezea, ni kataifa kenye changamoto nyingi hasa ya kuwa kwenye continuous war toka kamezaliwa.
Mimi nimesema hayo maendeleo yao, kwa kuongezea na resilience waliyonayo katika changamoto zao zote ni kutokana na msaada wanaopewa na Marekani.
hiyo hoja ingine ni kama vile tuanze kujadili kwa nini Marekani aisaidie USA may be zaidi ya Tanzania, sioni kama hii inatuelekeza kwenye mjadala wa kama ni kweli msaada wa marekani ndio unawabeba au la.