Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 560
kwa roli za faw ni muda gani unabadili.hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa roli za faw ni muda gani unabadili.hapo
Mkuu jitu la miraba minne
Nna cresta gx100 limetokea tatizo la ghafla ukiliweka kwenye d haliendi wala gear yoyote lkn katika kukagua nikagundua kuna pipe ipo chini usawa wa rejeta imechomoka na imemwaga mafuta kama oil vile vile nimepima dip stick ya gear box hamna oil lkn gear box hamna sehem imepasuka je hiyo pipe itakua na uhusiano wowote na hiyo oil
Ok shukran mkuu na je mdomo wa kuwekea oil kwa gx100 uko sehem ganiRekebisha hiyo pipe weka oil nyingine... hiyo pipe inaingia kwenye Oil cooler. Na oil yote imemwagikia hapo.
Ok shukran mkuu na je mdomo wa kuwekea oil kwa gx100 uko sehem gani
OkGearbox nyingi oil unawekea kwenye tundu la dipstick