Kwanini inashauriwa kubadili Mafuta ya Brake kila baada ya miaka 2 au 48,000 Km?

kwa roli za faw ni muda gani unabadili.hapo

Trucks nyingi zinatumia brake za hewa au tunaita Pneumatic. ambapo hewa hutolewa kila baada ya kutumika.

Sijui kama FAW hazitumii huo mfumo wa Pneumatic.

Sina uelewa sana wa trucks.
 
Mkuu jitu la miraba minne
Nna cresta gx100 limetokea tatizo la ghafla ukiliweka kwenye d haliendi wala gear yoyote lkn katika kukagua nikagundua kuna pipe ipo chini usawa wa rejeta imechomoka na imemwaga mafuta kama oil vile vile nimepima dip stick ya gear box hamna oil lkn gear box hamna sehem imepasuka je hiyo pipe itakua na uhusiano wowote na hiyo oil
 
Rekebisha hiyo pipe weka oil nyingine... hiyo pipe inaingia kwenye Oil cooler. Na oil yote imemwagikia hapo.
 
Back
Top Bottom