Kwanini inatumika "Mama Samia" badala ya Rais Samia?

Kwanini inatumika "Mama Samia" badala ya Rais Samia?

Jina lake Samia; kwanini aitwe mama Samia, badala ya kuitwa Rais Samia?

Maana ukisema mama inasimama badala ya mama yake, au mume wake angeitwa Samia (Mrs).
Nakubaliana mawe kabisa ni makosa kumwita mama Samia. Sijawahi kusikia Baba Jakaya, baba Ali. Hivyo iko kwa wanawanke
 
Back
Top Bottom