Kwanini injili ya Barnabas iliteketezwa?

Barnaba aliye andika injiri ya barnaba sio barnaba mwenza wa Paulo mtume.
Injiri ya barnaba iliandikwa na barnaba feki
 
Labda aliandika uhusiano wa Yesu na Maria makdalena , ila kuna siku Yesu alikuwa anacheza na watoto wenzie akarusha jiwe juu likamwangukia utosini mtoto akafa .
Ndo sababu ilo pelekea wakam- crussified pale msalabani mkuu[emoji16][emoji16]
 
Injili ya kweli ni ile aliyoitoa Yesu au na mtume paulo.Kama haifuati hiyo basi ni ya uongo. YESU tu ndio njia ya kweli na wa milele.Hakuna atakayeenda mbinguni bila Kumkiri kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] oyaaa mbna unambana sana mshikaji ?
 
Qurani ndio imeitelekeza Injiri ya Barnaba.
Ina vitabu vyote vya dini isipokuwa hicho.
 
Kwa ninvyojua mimi
kitabu cha m,wanzo mwandishi wake ni musa miaka ya 1400-1200 kk
wimbo ulio bora mwandishi ni suleimani mwenyewe 971-931 kk. kwasasa maswala ya dini nishaweka kando kwanza
 
Nikwasababu mungu muweza wa yote mwenye upendo wote hayupo na hajawahi kuwepo.
 
Nina hard kopy niliiweka mahali na sijui kama bado ipo na sina softcopy
Natumaini uki iGoogle utaipata.
Inamakosa ya wazi zaid ya miamoja.
Eti Yesu alienda na mtumbwi milimani.
Ni lini mtumbwi ukapanda milima.
Nimeisoma yote kwa kuirudiarudia na ni kwamba iliandikwa na Mwislamu.
Nikiiona nitaweka hapa makosa yake.
 
Barnabas aliandika masimulizi aliyosikia kwa wengine baada ya miaka mingi sana baada ya yesu. Masimulizi yake yalikuwa ya copy and paste ya injili zilizotangulia huku wakati mwengine akifanya makosa. Maandiko ya Barnabas yaliktokea zaidi ya miaka 500 tangu maandiko ya tabibu Luka ambaye ndiye aliyeandika injili ya mwisho naye akitumia masimulizi aliyosikia.
 
Injiri ya Barnaba inayosomwa na kusambazwa haikuandikwa na Barnaba msaidizi wa Paulo.
Iliandikwa na Waislamu ili kuzipindisha injiri Nne za Agano Jipya.
Barnaba msaidizi wa Paulo hakuwahi kuandika Injiri.
 
Hapo zamani za kale, kuna mtume mmoja alitokewa na kiumbe asichokijua, kwenye pango, na bila ya kujitambulisha kwamba kiumbe hicho ni kiumbe gani. Ghafla kikamkaba Koo na kumwambia " SOMA "
Mtu asiyejua kusoma wala kuandika iwezeshwa kuandika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…