Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Barnaba aliye andika injiri ya barnaba sio barnaba mwenza wa Paulo mtume.
Injiri ya barnaba iliandikwa na barnaba feki
Injiri ya barnaba iliandikwa na barnaba feki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo sababu ilo pelekea wakam- crussified pale msalabani mkuu[emoji16][emoji16]Labda aliandika uhusiano wa Yesu na Maria makdalena , ila kuna siku Yesu alikuwa anacheza na watoto wenzie akarusha jiwe juu likamwangukia utosini mtoto akafa .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] oyaaa mbna unambana sana mshikaji ?Haya ni malalamiko ambayo hayana msingi kwenye mada hii, ebu jaribu kuzungumzia kilichopo mezani , usiwe kipanga kila jambo kudandia , mambo ya QURAN nimazito uyawezi kama unajiamini fungua uzi wako nitag nitafika huko bila wasiwasi wowote, leo ni barnaba tu kwanini amuitumii injili aliyoandika yeye?
Huenda yote aliyoyasema barnaba yapo kwny quran.Qurani ndio imeitelekeza Injiri ya Barnaba.
Ina vitabu vyote vya dini isipokuwa hicho.
Kwa ninvyojua mimiMkuu hii sio hoja hata Daniel hakuandika kitabu cha Daniel wala waebrania hakikuandikwa na Paulo na hata kitabu cha mwanzo kimeandikwa kipindi waisrael wapo uhamishoni huko babylon hivyo hoja ingekuwa kwenye source zake muandishi ila tarehe na uandishi 70% ya Biblia haikuandikwa na manabii waliohusishwa na hivyo vitabu kama sio unaweza ukatusaidia nani muandishi wa wimbo ulio bora ambacho kimeandikwa miaka 200 baada ya suleiman kufa.... Au unaweza tusaidia muandishi wa mwanzo ambacho kimeandikwa zaidi ya miaka 600 baada ya musa kufa??
Ubarikiwe
NitumieInjiri ya Barnabas haijateketezwa na ipo mitaani inauzwa na wala haijapigwa marufuku na taasisi yoyote, kama kitabu cha Aya za Shetani.
Kama unaihitaji unaweza kuinunua na ukaisoma na kuifuata bila bigudha yoyote ile kama unaipenda.
Nina hard kopy niliiweka mahali na sijui kama bado ipo na sina softcopyNitumie
Injiri ya Barnaba inayosomwa na kusambazwa haikuandikwa na Barnaba msaidizi wa Paulo.Barnabas aliandika masimulizi aliyosikia kwa wengine baada ya miaka mingi sana baada ya yesu. Masimulizi yake yalikuwa ya copy and paste ya injili zilizotangulia huku wakati mwengine akifanya makosa Maandiko ya Barnabas yaliktokea zaidi ya miaka 1000 tangu maandiko ya tabibu Luka ambaye ndiye aliyeandika injili ya mwisho naye akitumia masimulizi aliyosikia.
Kama niniHuenda yote aliyoyasema barnaba yapo kwny quran.
Ukishaona kitabu kinalazimisha eti "Muhammad in Bible" jua kimeandikwa na wa-Muhammad kuwavuruga wa Yesu.Hii ni hardcopy iliyotafsiriwa kutoka kiitaliano had kiingereza,kiukweli kuna baadhi ya sehemu hii injili inapingana mbali kabisa kitaarifa pamoja na injili nyingine tunazozifahamuView attachment 2949970View attachment 2949971
View attachment 2949973View attachment 2949974
Mtu asiyejua kusoma wala kuandika iwezeshwa kuandika?Hapo zamani za kale, kuna mtume mmoja alitokewa na kiumbe asichokijua, kwenye pango, na bila ya kujitambulisha kwamba kiumbe hicho ni kiumbe gani. Ghafla kikamkaba Koo na kumwambia " SOMA "