mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Wapi Paulo aliongea na yesu kama sio nyie waisleam mnamlisha manenoMbona Paulo anadai aliongea na Yesu , vip unaweza kuthibitisha waliwahi kutana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi Paulo aliongea na yesu kama sio nyie waisleam mnamlisha manenoMbona Paulo anadai aliongea na Yesu , vip unaweza kuthibitisha waliwahi kutana?
Sisi waislamu tumlishe maneno Paulo?Wapi Paulo aliongea na yesu kama sio nyie waisleam mnamlisha maneno
Cha Ajabu nini hapo [emoji15] [emoji12] Mimi pia Naongea na Yesu kila siku na hata Kupitia Neno lake [emoji106] sasa huyo barnaba lugha ya Yesu haijui ndio anaingiza voucher ya Voda kwenye mtandao Wa halo itakubalika kweli [emoji350] [emoji344]Mbona Paulo anadai aliongea na Yesu , vip unaweza kuthibitisha waliwahi kutana?
Ahahahaahhahahahahahahahaajajjaja kumbe wewe mluguru unaongea na Yesu ,sasa barnaba kama kasema kaongea nae ujue kaongea nae kama wewe tu , ni suala la kusema tu kama wewe ulivyosemaCha Ajabu nini hapo [emoji15] [emoji12] Mimi pia Naongea na Yesu kila siku na hata Kupitia Neno lake [emoji106] sasa huyo barnaba lugha ya Yesu haijui ndio anaingiza voucher ya Voda kwenye mtandao Wa halo itakubalika kweli [emoji350] [emoji344]
Mjadili barnaba huku ndio upawezi kabisaaHicho Kitabu choote hakuna mlingano na Vitabu vingine [emoji12] huyo alikuwa anasimulia isa aliye zaliwa chini ya mtende na Tangazo lake la kuzaliwa lilitoka chini KUZIMU [emoji117] View attachment 891795 kinyume Kabisa na Waandishi wengine wa Biblia Takatifu [emoji15] [emoji12]
Kawaulize wazee wa Vatican ndio wanamajibu yatakayo kufaaNani kaiteketeza!? Wapi!? Kabla au baada ya Baba yake fatuma?!
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Ndio walioleta huu uzi humu [emoji350] [emoji344]Kawaulize wazee wa Vatican ndio wanamajibu yatakayo kufaa
Mtoa mada " anaomba kujua". halafu na wewe unamuongezee maswali, hayo maswali yako peleka Vatican utajibiwa vizuri hapa mjulishe mtoa mada anachotaka kujuaNdio walioleta huu uzi humu [emoji350] [emoji344]
Aisee!Injiri ya Barnaba Sio Injiri ya Kristo na haiendani na Theolojia ya Kristo hivyo haina mashiko kwa Wakristo.
Machache kati ya hayo ni kwamba.
-Mwandishi wake alikuwa na uelewa mdogo sana kuhusu jiografia ya Upalestina.
-Katika sura ya 99:21 mwandishi anaeleza alipanda kwa miguu kuelekea kijiji cha Kapernaumu, wakati kijiji hicho kipo zaidi ya mita 200 chini ya usawa wa bahari.
-katika sura ya 100 mwandishi anaeleza kuwa Yesu Kristo alienda Nazareti kwa mashua wakati kijiji hicho kipo mita 500 juu ya usawa wa bahari,
-Katika sura ya 151 anasema pia kuwa Yesu alienda Yerusalemu kwa mashua ukiangalia ramani inapingana na huo usemi.
-Barnaba ndiye pekee aliyeandika kuwa Mamajusi waliompelekea zawadi mtoto Yesu, walikuwa watu watatu tu, tofauti na Injiri ya Yesu ambayo haijataja idadi ya Mamajusi bali imetaja idadi ya zawadi tatu walizopeleka (uvumba, manemane na dhahabu)
-Katika sura 40:41 Barnaba analitaja jina la tunda la mti wa mema na mabaya kuwa ni tunda la Tofaa, lile alilokula Hawa ktk bustani ya Edeni, wakati kitabu cha mwanzo na Biblia kwa ujumla ambayo ndiyo chanzo pekee cha habari hii, haijataja popote jina la tunda la Tufaa ktk maelezo yake.
-Katika sura ya 54 Barnaba ameitaja Dinari kuwa ina Minuti 60, bila kujua kuwa Minuti ilikuwa fedha ya Uhispania iliyoanza kutumika mwaka 685 baada ya Kristo wakati wa utawala wa Khalifa Abdul Malaki. Enzi za Yesu hiyo fedha haikuwepo.
- Katika sura ya 150 Barnaba anaeleza kuwa Yesu Kristo alizaliwa wakati wa utawala wa Pontio Pilato akiwa kiongozi, wakati ukweli ni kwamba utawala wa Pilato ulianza mwaka 26 na 27 baada ya Kristo kuzaliwa.
-Katika sura ya 97 Barnaba anamtaja Mtume Muhammad kuwa ni Masihi na Yesu anamwita Kristo bila kujua kuwa neno Kristo ni kwa Kigiriki na Masihi ni kwa Kiebrania yakiwa na maana moja.
-Katika sura ya 222 Barnaba anaeleza kuwa Yesu Kristo hakusulubiwa, aliondolewa na Malaika, kisha Yuda alisulubiwa badala yake.
-Katika sura ya 44 Barnaba anaeleza kuwa Ibrahimu alimtoa Ishmaeli awe sadaka katika madhabahu, na anamwita Mungu wa Ibrahimu, Ishmaeli na Yakobo, tofauti kabisa na Mwanzo 22.
-Katika sura ya 192 Barnaba anasema Mwishmaeli ndiye aliyeiandika Torati.
-Barnaba anamweka mtume Muhammadi kama mbadala wa Yesu kristo, angalia sura ya 44, 45, 9, 112, 39 na nyinginezo ktk kitabu hicho.
{ hii ndiyo injili mnayoipigania iwekwe kwenye Biblia takatifu ? }
Katika ukweli huu mchache nadhani wasomaji mmeelewa mlengo wa Injiri ya Barnaba wala sina haja ya kuwaambia.
Injiri iliyowekwa katika biblia inaeleza wazo moja (maudhui yanafanana) ingawa inatofautiana maneno kutokana na mazingira ya kila mwandishi alivyofunuliwa na Yesu mwenyewe, tofauti na Injiri ya Barnaba.
[ Ndio maana kuna msemaji mmoja hapo juu nimemwambia, kama anaihitaji Injiri ya Barnaba, inapatikana madukani, akainunue na kuitumia ]
Hapo zamani za kale, kuna mtume mmoja alitokewa na kiumbe asichokijua, kwenye pango, na bila ya kujitambulisha kwamba kiumbe hicho ni kiumbe gani. Ghafla kikamkaba Koo na kumwambia " SOMA "
cc: masoud mshahara majibu ya maswali haya yanajibu swali ulilomuuliza jamaa flani kwamba aweke vielelezo au sababu zinazomfanya aseme muandishi wa injili ya Barnaba imeghushiwa.Injiri ya Barnaba Sio Injiri ya Kristo na haiendani na Theolojia ya Kristo hivyo haina mashiko kwa Wakristo.

Mtoa mada " anaomba kujua". halafu na wewe unamuongezee maswali, hayo maswali yako peleka Vatican utajibiwa vizuri hapa mjulishe mtoa mada anachotaka kujua
Hivi Quran nako imegushiwa
Ndiyo mkuu,Injili ya barnaba iliandikwa na msanii mmoja huko.moroco nadhani alitaka kuwafurahisha waislam wenzake sema akawa hana ujuzi wa geographia wala historia.
Anasema jubelee ilikuwa inafanyika kila baada ya miaka 100...wakati agano la kale linasema jubelee ilikuwa ni miaka 50.
Aliyekuja kubadili jubelee alikuwa papa mmoja msanii miaka ya 1300 na kuwa kila baada ya miaka 100 lakin baadae papa.mwingine akili ilmrudia akarudisha jubelee kuwa ni kila baada ya miaka 50 kama ilivyokuwa kwenye agano la.kale...so kwa mantiki hiyo injili ya barnabas iliandikwa kipindi cha miaka 1500 huko ambako bible ilikuwa tayari imeshakamilika
Asante Sana Mkuu.Aisee!
We jamaa ni Kasisi au mchungaji?
Umejibu vizuri sana na kwa lugha nyepesi.
Umejibu kisomi sana kama mtu mwenye Shahada ya uzamivu ya falsafa au Teolojia.
Majibu hayo aliyotoa mbona nilishauliza swali lake mkuu , sijajibiwa wewe rejea comments zangucc: masoud mshahara majibu ya maswali haya yanajibu swali ulilomuuliza jamaa flani kwamba aweke vielelezo au sababu zinazomfanya aseme muandishi wa injili ya Barnaba imeghushiwa.
Nitafuatilia mkuu.Majibu hayo aliyotoa mbona nilishauliza swali lake mkuu , sijajibiwa wewe rejea comments zangu
Haya ni malalamiko ambayo hayana msingi kwenye mada hii, ebu jaribu kuzungumzia kilichopo mezani , usiwe kipanga kila jambo kudandia , mambo ya QURAN nimazito uyawezi kama unajiamini fungua uzi wako nitag nitafika huko bila wasiwasi wowote, leo ni barnaba tu kwanini amuitumii injili aliyoandika yeye?
Ahahahahaaaahahhahhaaha mkuu unanchekesha sana hoja zako za kuikataa injili ya barnaba azina mashiko , unajadiri geographia kama hoja ya kumpinga barnaba kweli mkuu?Ndiyo mkuu,
Injiri ya Barnaba imeandikwa na mwislamu mmoja hivi.
Yaani mwanzo mwisho inamtaja na kumsifia mtume muhammadi, na inaandika habari zake kwa kukopi kwenye Qurani ya Waislamu.
Aliyeandika aliandika harakaharaka na bila ya weledi na ina makosa mengi sana ya kila hali.
Na wanaoipigia upatu ili itumike ni waislamu kama Masudi Mshahara na wenzake.
Kinacho nishangaza kwa hao waislamu wanasema kitabu chao cha Qurani kina vitabu vyote yaani Torati, Zaburi na Injiri, halafu wanasema Barnaba ameandika Injiri nzuri.
Nawauliza hao waislamu ivi kwanini wasiisome Injiri ya ukweli ya Barnaba kwenye kitabu chao cha Qurani ?
Si wanadai Injiri ya kweli ipo kwenye Qurani. Basi na Injiri ya Barnaba itakuwepo kwenye Qurani yao hiyo.
Namshangaa pia mtoa mada, (Rough Play)
Anasema Injiri ya Barnaba ipo kurasa mbili tu, inaonekana ame andika mada bila ya kuiona Injiri yenyewe.
Injiri ya Barnaba ni kitabu kamili na kinauzwa mjini Daresalama kwa wauji wa vitabu.
Ukitaka kuipata nenda Kariakoo au Posta, waulize wale wanaouza vitabu kwenye meza nje watakupatia kwa bei nafuu kabisa.
Masudi Mshahara anayo injiri ya Barnaba na anaweza kukuuzia ukimshawishi vizuri.
Dini zipo kwa ajili ya kulinda matajiri wasiuawe na masikini.Baada ya kuonekana iko tofauti sana na injili nyingine ndo mana ikapigwa marufuku. Hiyo injili huumiwa sana na waislam katika baadhi ya mandiko ku support Quran kwani yaongelea ujio wa mtume Muhhamadi na kutouliwa kwa Yesu msalabani.
Kama umuelewa unaeza gundua hizi dini ni miradi ya watu ili kutuweka akili zetu ndani ya BOX.