Kwanini injili ya Barnabas iliteketezwa?

Mbona Paulo anadai aliongea na Yesu , vip unaweza kuthibitisha waliwahi kutana?
Cha Ajabu nini hapo [emoji15] [emoji12] Mimi pia Naongea na Yesu kila siku na hata Kupitia Neno lake [emoji106] sasa huyo barnaba lugha ya Yesu haijui ndio anaingiza voucher ya Voda kwenye mtandao Wa halo itakubalika kweli [emoji350] [emoji344]
 
Cha Ajabu nini hapo [emoji15] [emoji12] Mimi pia Naongea na Yesu kila siku na hata Kupitia Neno lake [emoji106] sasa huyo barnaba lugha ya Yesu haijui ndio anaingiza voucher ya Voda kwenye mtandao Wa halo itakubalika kweli [emoji350] [emoji344]
Ahahahaahhahahahahahahahaajajjaja kumbe wewe mluguru unaongea na Yesu ,sasa barnaba kama kasema kaongea nae ujue kaongea nae kama wewe tu , ni suala la kusema tu kama wewe ulivyosema
 
Aisee!
We jamaa ni Kasisi au mchungaji?
Umejibu vizuri sana na kwa lugha nyepesi.
Umejibu kisomi sana kama mtu mwenye Shahada ya uzamivu ya falsafa au Teolojia.
 
cc: masoud mshahara majibu ya maswali haya yanajibu swali ulilomuuliza jamaa flani kwamba aweke vielelezo au sababu zinazomfanya aseme muandishi wa injili ya Barnaba imeghushiwa.
 
Injili ya barnaba iliandikwa na msanii mmoja huko.moroco nadhani alitaka kuwafurahisha waislam wenzake sema akawa hana ujuzi wa geographia wala historia.
Anasema jubelee ilikuwa inafanyika kila baada ya miaka 100...wakati agano la kale linasema jubelee ilikuwa ni miaka 50.
Aliyekuja kubadili jubelee alikuwa papa mmoja msanii miaka ya 1300 na kuwa kila baada ya miaka 100 lakin baadae papa.mwingine akili ilmrudia akarudisha jubelee kuwa ni kila baada ya miaka 50 kama ilivyokuwa kwenye agano la.kale...so kwa mantiki hiyo injili ya barnabas iliandikwa kipindi cha miaka 1500 huko ambako bible ilikuwa tayari imeshakamilika
 
Ndiyo mkuu,
Injiri ya Barnaba imeandikwa na mwislamu mmoja hivi.
Yaani mwanzo mwisho inamtaja na kumsifia mtume muhammadi, na inaandika habari zake kwa kukopi kwenye Qurani ya Waislamu.
Aliyeandika aliandika harakaharaka na bila ya weledi na ina makosa mengi sana ya kila hali.
Na wanaoipigia upatu ili itumike ni waislamu kama Masudi Mshahara na wenzake.
Kinacho nishangaza kwa hao waislamu wanasema kitabu chao cha Qurani kina vitabu vyote yaani Torati, Zaburi na Injiri, halafu wanasema Barnaba ameandika Injiri nzuri.
Nawauliza hao waislamu ivi kwanini wasiisome Injiri ya ukweli ya Barnaba kwenye kitabu chao cha Qurani ?
Si wanadai Injiri ya kweli ipo kwenye Qurani. Basi na Injiri ya Barnaba itakuwepo kwenye Qurani yao hiyo.
Namshangaa pia mtoa mada, (Rough Play)
Anasema Injiri ya Barnaba ipo kurasa mbili tu, inaonekana ame andika mada bila ya kuiona Injiri yenyewe.
Injiri ya Barnaba ni kitabu kamili na kinauzwa mjini Daresalama kwa wauji wa vitabu.
Ukitaka kuipata nenda Kariakoo au Posta, waulize wale wanaouza vitabu kwenye meza nje watakupatia kwa bei nafuu kabisa.
Masudi Mshahara anayo injiri ya Barnaba na anaweza kukuuzia ukimshawishi vizuri.
 
Aisee!
We jamaa ni Kasisi au mchungaji?
Umejibu vizuri sana na kwa lugha nyepesi.
Umejibu kisomi sana kama mtu mwenye Shahada ya uzamivu ya falsafa au Teolojia.
Asante Sana Mkuu.
Jamii forum ni sehemu nzuri ya kubadilishana mawazo,
Ni kama changamsha bongo hivi kwetu sote.
 
cc: masoud mshahara majibu ya maswali haya yanajibu swali ulilomuuliza jamaa flani kwamba aweke vielelezo au sababu zinazomfanya aseme muandishi wa injili ya Barnaba imeghushiwa.
Majibu hayo aliyotoa mbona nilishauliza swali lake mkuu , sijajibiwa wewe rejea comments zangu
 
Ahahahahaaaahahhahhaaha mkuu unanchekesha sana hoja zako za kuikataa injili ya barnaba azina mashiko , unajadiri geographia kama hoja ya kumpinga barnaba kweli mkuu?
 
Dini zipo kwa ajili ya kulinda matajiri wasiuawe na masikini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…